Sunday, April 10, 2011

NAPENDA KUWATAKIA WOTE JUMAPILI NJEMA KWA UJUMBE HUU

Macho ya huruma hufurahisha moyo, habari huburudisha mwili. Kuchukiana huendekeza fitina, kupendana husitiri makosa yote. Nilikuwa mgonjwa ukaja kuniona .Nilikuwa na njaa ukanilisha. Kumhudumia mgonjwa ni wito. Jumapili njema jamani:-) ngoja tusikilize wimbo huu kuhusu Afrika yetu

.
Muwe salama wote na kumbukeni wote mnapendwa!!!

8 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia mdada.

    ReplyDelete
  2. Na iwe njema na kwako pia dada Yasinta...Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  3. Yasinta ninachokupendea you're so naturally! Would love to be your personal friend - mind you in a very good way am also a lady +30 (yaani kwa kiswahili nina maanisha tuwe marafiki sio kiblog blog bali kikweli kweli..wink)
    Stay blessed.

    ReplyDelete
  4. Edna! jumapili yangu iliishia kazini na ilikuwa njema kiasi chake. Ahsante-

    Kaka Mathew Ahsante:-)

    Kaka Raymond! Nawe ubarikiwe pia.

    Kaka Chacha! Ahsante kwa kushukuru naamini ulikuwa na jumapili njema:-)

    Usiye na Jina! ahsante sana kwa wasifa wako ulonipa. Urafiki nawe itakuwa ngumu kuwa na rafiki asiye na jina. Ingekuwa vizuri kama ungesema wewe ni nani pia...ni wazo tu...Ubarikiwe na wewe pia:-)

    ReplyDelete
  5. Rafiki ni mimi yule niye na jina (mbele ya macho ya wengi) nimejaribu kuangalia humu bloguni mwako llakini sijaona e-mail address yako - I was gona send you one kujitambulisha

    ReplyDelete
  6. Oh! kumbe basi jitahidi kuangalia vizuri kwani ipo nina uhakika kabisa:-)

    ReplyDelete