Kuna mambo mengine kikisia zangu nahisi sio vizuri kuyafanyia utani!:-(
Na Posti hii nahisi wahusika kikweli kama wanahisi kama mimi kuna utani kwenye mambo ambayo sio utani ya mpaka ya utapia MLO ,... .. labda posti hii haina teh the, LOL au hata :-)-hasa kwa kuwa ,... Hivi kichekeshaco kwenye picha hiyo hasa ni kipi?
Kuna mambo mengine kihisia zangu nahisi sio vizuri kuyafanyia utani!:-(
Na huu ni UTANI nahisi ambao sio lazima una ULAZIMA kuwepo leo!:-(
Na Posti hii nahisi wahusika kikweli kama wanahisi kama mimi kuwa kuna utani kwenye mambo ambayo sio utani ya mpaka ya utapia MLO ,... .. labda posti hii haina teh teh, LOL au hata :-)
....-hasa kwa kuwa ,... Hivi kichekeshaco kwenye picha hiyo hasa ni kipi?
Nawaza tu kwa sauti!:-(
Nimerudia komenti kwa kuwa wadau ambao niko nao wamekuwa ofendedi kama mimi walipoona hii posti kiaina.
Dada Yasinta, hii imenikumbusha utoto wangu. Baada ya timu kukamilika namna hii, ilikuwa sasa akipita panzi hapo kwenye anga zetu ni kumfukuza kwa mawe na hizo fimbo hadi kutokomea naye maporini :-)
Minaomba tukupe ka mji......Songea, nimejaribu kuangalia kwa mbali nimeshindwa kukutambua hata nilipojaribu kuivuta picha na kuikuza bado nimeshindwa kukugundua,hivi kweli wewe upo kwenye hiyo picha?
Hongera kwa kutunza kumbukumbu, la hasha kwa kutafuta kumbukumbu. Kuna watoto sasa hivi hawawezi kulikubali hili, kama ambavyo hawawajui chawa wala kupe. Wewe hapo hupo, na kama kweli upo, basi ni yule aliye nafuu kimavazi kuliko wote. Una utani mbaya teeeeehee
Teh!teh!teh!Kweli kazi da'Yasinta,naona kama haka ka-pili kulia kanashabihiana na haiba yako ulipokuwa mtoto...teh!ndo wewe nini?
ReplyDeleteWewe naona ndiye uliyeshika hiyo fimbo au macho yangu hayaoni vizuri??
ReplyDeleteDada Yangu....hapo haupo, acha usanii, ha ha ha haaaa....!!!!!! Nimecheka sana, asante!
ReplyDeleteKuna mambo mengine kikisia zangu nahisi sio vizuri kuyafanyia utani!:-(
ReplyDeleteNa Posti hii nahisi wahusika kikweli kama wanahisi kama mimi kuna utani kwenye mambo ambayo sio utani ya mpaka ya utapia MLO ,...
.. labda posti hii haina teh the, LOL au hata :-)-hasa kwa kuwa ,...
Hivi kichekeshaco kwenye picha hiyo hasa ni kipi?
Nawaza tu kwa sauti!:-(
Kuna mambo mengine kihisia zangu nahisi sio vizuri kuyafanyia utani!:-(
ReplyDeleteNa huu ni UTANI nahisi ambao sio lazima una ULAZIMA kuwepo leo!:-(
Na Posti hii nahisi wahusika kikweli kama wanahisi kama mimi kuwa kuna utani kwenye mambo ambayo sio utani ya mpaka ya utapia MLO ,...
.. labda posti hii haina teh teh, LOL au hata :-)
....-hasa kwa kuwa ,...
Hivi kichekeshaco kwenye picha hiyo hasa ni kipi?
Nawaza tu kwa sauti!:-(
Nimerudia komenti kwa kuwa wadau ambao niko nao wamekuwa ofendedi kama mimi walipoona hii posti kiaina.
Ni hilo tu!:-(
Hahahahaha......Inapendeza sana kuwa na kumbukumbu kama hiyo japo sijakutambua wewe pale,do me a fever and identfy yourself please?
ReplyDeleteHahahaa haka kapicha kamenifurahisha sana.Lakini mbona wewe sikuoni? Upo kweli hapo?
ReplyDeleteasante kwa picha hawa watoto wanaonekana wana afya lakini wamekosa nguo na usafi tu
ReplyDeleteDada Yasinta, hii imenikumbusha utoto wangu. Baada ya timu kukamilika namna hii, ilikuwa sasa akipita panzi hapo kwenye anga zetu ni kumfukuza kwa mawe na hizo fimbo hadi kutokomea naye maporini :-)
ReplyDeleteMinaomba tukupe ka mji......Songea, nimejaribu kuangalia kwa mbali nimeshindwa kukutambua hata nilipojaribu kuivuta picha na kuikuza bado nimeshindwa kukugundua,hivi kweli wewe upo kwenye hiyo picha?
ReplyDeleteAhsanteni wote! mimi nipo hapo nyuma ukiangalia vizuri utaona naonekana kasura kwa mbali nilikuwa naogopa kamera:-)
ReplyDeleteUongo huo, hii picha ya kwetu tuliipiga pale Msalato Dodoma mwaka 1989. Mimi niko ni wa pili kushoto.
ReplyDeleteHongera kwa kutunza kumbukumbu, la hasha kwa kutafuta kumbukumbu. Kuna watoto sasa hivi hawawezi kulikubali hili, kama ambavyo hawawajui chawa wala kupe. Wewe hapo hupo, na kama kweli upo, basi ni yule aliye nafuu kimavazi kuliko wote. Una utani mbaya teeeeehee
ReplyDelete