Sunday, April 24, 2011

KHERI KWA SIKUKUU YA PASAKA KWA WOTE!!


BWANA AMEFUFUKA NA WOTE TUFURAHI LEO....KHERI SANA KWA PASAKA!!!

7 comments:

  1. Bwana amefufuka na tukumbuke kuwa alikufa kwa ajili yetu kwahiyo yatnupasa kuomba kwa nguvu zote nashukuru Mungu ameniokoa na sasa najvunia Mungu wangu kwani yeye ni yule yule leo na jana Amen

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana na kaka Lutonja hapo juu. Heri kwa sikukuu ya pasaka Yasinta.

    ReplyDelete
  3. Nafikiria hivi WAISLAMU au tu waaminio kitu kingine wakati kuna watu ambao mpaka wanajua kalenda hii ifanyayo kuna Wakristo wanaamini ndio PASAKA,...
    .... kabla ya kuingia swala zima la kiimani kuwa MESAYA alifufuka baada ya kufa wanawazanini!

    Nimewaza tu kwa sauti!:-(

    ReplyDelete
  4. Mungu awe nawe pia katika siku kuu hii ya pasaka

    ReplyDelete
  5. Heri ya sikukuu ya Pasaka na wewe pia na familia kwa ujumla!

    ReplyDelete