Napenda kukutakia siku yako ya kuzaliwa kheri na baraka tele. Mwenyezi Mungu na akulinde uwe salama pia uwe na afya njema siku zote. Na pia uwe bibi kizee ili uweze kucheza na wajukuu wako pia vijukuu. HONGERA SANA KWA SIKU YAKO HII TUKUFU KWA KUONGEZA LIMWAKA:-) UWE NA SIKU NZURI NA WALA USITHUBUTU KUTUNYIMA HIYO KEKI!!!
Zaidi unaweza kumwona mwanamke huyu wa shoka kwa kubonyeza
Da´Mija.
hongera sana Da Mija!
ReplyDeleteheri yake!! miaka mingapi?
ReplyDeleteHongera sana za kiheri Da Mija!
ReplyDeleteMungu akupe maisha marefu.hongera
ReplyDeleteaisssh! times run fast. juzi tu ulikuwa bagamoyo leo miaka hiyo tena.
ReplyDeletehongera kuwa kuchana kalenda nyingine tena
Hongera Da Mija. Hangamaga !!!
ReplyDeleteYasinta asante sana kwa kunipa nafasi kibarazani kwako, wengine pia asanteni sana kwa kunitakia maisha marefu na ya furaha. Mbarikiwe sana.
ReplyDelete*Yasinta hiyo picha nilikuwa bado Kigoli pale Bagamoyo, nilikuwa naruka sarakasi kama sina akili nzuri vile..lol!!
Hongera mwana Sayi!Mungu akuongezee mingine mingi!Sebha Akjhiwe!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHongera dada Mija...Mungu akujal;ie maisha marefu zaidi.Hepi bethidei tu yuuuuu.....
ReplyDelete