Friday, March 25, 2011

SHIDA, SHIDA MPAKA SIKU YA MWISHO!!!!!!



Habari zaidi za mazishi nitaziweka karibuni ndugu zanguni ila kwa kifupi tu NASEMA AHSANTENI SANA KWA USHIRIKIANO WENU ULIUONYESHA Familia ya Mzee Ngonyani Ruhuwiko-Songea na Familia ya Ngonyani/Klaesson Sweden. Inatoa shukrani za dhati sana. Ahsanteni...

9 comments:

  1. Shida haina ngoja ngoja dada yangu!WALA HAINA HODI!POLENI SANA!.

    ReplyDelete
  2. pole sana da Yasinta kwa tukio hili. Mwenyezi Mungu azidi kukupeni faraja.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana,dada yetu poleni wanafamilia, hayo yote ni uweza wa muumba!

    ReplyDelete
  4. Maombi yenu hakika yametupa faraja mno. Ahsanteni sana. AHSANTENI!!! PAMOJA DAIMA KWANI SISI NI NDUGU.

    ReplyDelete