Sunday, February 20, 2011

UJUMBE WA JUMAPILI HII YA NANE YA MWAKA!!

Unapotafakari mema ya Mungu ya leo:-

WASAMEHE WALIOKUKOSEA,

WAKUMBUKE WALIOKUSAHAU na UILINDE AMANI YA MOYO ISIPOTEE.

Kwani utakuwa na furaha daima!!!




JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGUNI!!!!

6 comments:

  1. Samahani Jumapili hii ni ya Saba kwa upande wa Wakristu wakatoliki, sasa sijui dada yetu unahesabu J.pili ipi?

    ReplyDelete
  2. mfundishi!! karibu:-)

    Na usiye na jina sijui wewe katika mwaka huu ulianza kuhesabu lini hizi jumapili kwani mimi nilianza tarehe 2/1/2011 na ukianzia hapo utaona ni kweli leo ni jumapili ya nane ya mwaka huu na sio saba.

    ReplyDelete
  3. Nami NIMEKUSAMEHE kwa kunisahau.
    Hahahahahaaaaaaaaa
    Asante Dada

    NAWE JUMAPILI NJEMA

    ReplyDelete
  4. "Waliokukosea"????

    Kwanini wakukosee?


    Unajuaje kweli wamekukosea au ndio wewe uliwachokoza?



    Kifupi, Mkuu NaNgonyani, nimebarikiwa sana na ujumbe wako waleo ukiwasahau wale wanaosumbuliwa na mahesabu ya wiki badala ya kutafakari ujumbe.



    Wanaotukosea kweli wanasiri kubwa ya maisha yetu. Tusipowasamehe na kuwapenda (Luke 6:27-36) kama vile Mungu alivyotuamri (kwa Dini ya Kikresto), basi sisi ni wapumbavu.

    ReplyDelete
  5. Thanx dadaa nawe pia jpili njema.

    ReplyDelete