Friday, February 18, 2011

NAWATAKIENI WOTE MWISHO WA JUMA/IJUMAA MWEMA/NJEMA!!!



Jamani! Siku zinakimbia kwelikweli leo ni Ijumaa nyingine tena. Ni mwisho wa juma unaanza wengi wetu tumekuwa katika pilikapilika na sasa ni wakati wa kupumzika na wengine ndo kazi kama kawaida. Kwa hiyo kwa wale watakaopumzika na wale wataofanya kazi, napenda kuwatakieni mapumziko mema na kazi njema. Na ndiyo nikaona niwatakieni na mziki kidogo kwani kama tusemavyo kazi na mziki na mapumziko na mziki. Haya ni wakati wa discooooooooooooo. IJUMAA NA MWISHO WA JUMA UWE WENYE FURAHA KWA WOTE.TUONANE TENA WAKATI MWINGINE!!!!

5 comments:

  1. AHSANTE SANA NAWE PIA.
    NAPENDA KUKUFAHAMISHA KUWA MWENZETU M3 KWA TAARIFA NILIZOZIPA KUWA NAE NI MMOJAWAPO WA MAAFA YA MABOMU HUKO GONGO LA MBOTO. LAKINI TUNAMSHUKURU MUNGU KUWA YUPO SALAMA. NDIO MAANA HAYUPO HEWANI KWA SASA. TAFADHALI WAJULISHE WADAU WENGINE. AHSANTE

    BN

    ReplyDelete
  2. Habari dada Yasinta,najua hii ni sehemu ya kuweka comments but am misussing it by sending a request,mm ni mdau wako no1 kutoka New Delhi napenda kushare na ww libeneke langu linaloitwa Karatagalasa.blogspot.com,nitafurahi km ukiniongeza ktk blog list yako,email yangu ni Kusuwili@gmail.com.Thank u.Kusuwili

    ReplyDelete
  3. Shukrani zetu zikufikie mpaka moyoni kabisa. ASANTE!

    ReplyDelete