Mie nawatakieni nyote mnaopita kwenye uga huu wikiendi njema. Kwa wenye theluji endeleeni kupiga koleo hata hivyo punde tu tutajidai na summer. Kwa walioko Bongolalaland fikiria kufanya kama jamaa zetu wa Masri pale.
Mchezo mzuri sana; na wale wanayoigiza ni wataalam kabisa.
Wamtafutie jina lingine lakini huyo Majuto. Haina haja siku hizi kujuta kama umepata ukimwi (kama nimewuelewa vizuri mchezo).
Yoyote yule anaweza kupata ukimwi... hata watakatifu...
Hata hapa Afrika Kusini kunamtakatifu mmoja ambaye inasemekana ugonjwa wake unatokana na ukimwi... anavaaa nguo kama mtoto mchanga kutokana na kuharisha daima huku akiwa mzee wa miaka zaidi ya 80... aibu hamna tena... ukimwi ni kikohozi!
Ijumaa njema kwako pia !
ReplyDeleteijumaa njema na kwako pia
ReplyDeleteIjumaa njema dada..
ReplyDeleteMt. Simon Ahsante! pia shukrani kwa kuwa pamoja:-)
ReplyDeleteKaka John Nawe Ahsante!
Kaka Mrope nadhani nitakuwa na ijumaa njema kwani si muda mrefu nitamaliza kazi na nitakuwa off mpaka j3:-)
Ijumaa njema pia nawe. Kesho wapikie ugali hao wazungu,au hujaagiza unga?
ReplyDeleteWasalimie sana wanao.
Hongera kwa kuwa off! wengine tuko safarini hivo....mioyo pwaaaa kwa hofu mwee!
ReplyDeleteMuwe na ijumaa njema!
Safari Njema, ah! NO Weekend NJEMA KWA KILA MMOJA.
ReplyDeleteNdio nimefika maana huko nilipokuwa!!!! euuff.
Asante sana na kwako pia dada Yasinta!
ReplyDeleteMie nawatakieni nyote mnaopita kwenye uga huu wikiendi njema. Kwa wenye theluji endeleeni kupiga koleo hata hivyo punde tu tutajidai na summer.
ReplyDeleteKwa walioko Bongolalaland fikiria kufanya kama jamaa zetu wa Masri pale.
Jumamosi njema, kwani nimeisoma hii `heri na fanaka' j'mosi, nakutakia wiki-end njema wewe na familia yako.TUPO PAMOJA DAIMA
ReplyDeletemapumziko mema na Familiya!!!!!!!j`mosi njema!!
ReplyDeleteAsante da Yasinta.
ReplyDeleteMchezo mzuri sana; na wale wanayoigiza ni wataalam kabisa.
ReplyDeleteWamtafutie jina lingine lakini huyo Majuto. Haina haja siku hizi kujuta kama umepata ukimwi (kama nimewuelewa vizuri mchezo).
Yoyote yule anaweza kupata ukimwi... hata watakatifu...
Hata hapa Afrika Kusini kunamtakatifu mmoja ambaye inasemekana ugonjwa wake unatokana na ukimwi... anavaaa nguo kama mtoto mchanga kutokana na kuharisha daima huku akiwa mzee wa miaka zaidi ya 80... aibu hamna tena... ukimwi ni kikohozi!