Sunday, February 6, 2011

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE:-Ni Jumapili ya sita ya mwaka halafu ni tarehe sita pia, na ya kwanza kwa mwezi huu

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda mwezi uliopita Januari nimekuwa salama bila kuugua na namshukuru kwa kuuanza mwezi huu wa februari vizuri. Pia namshukuru kwa kuwalinda watu wengine wote waliosalama mpaka siku hii ya leo. Ahsante Mungu. JUMAPILI NJEMA KWA WOTE.!!!!!!!!

Ngoja tumsikilize dada Rose Muhando kidogo pia......

12 comments:

  1. ahsante sana da Yasinta. nawe uwe na Jumapili njema kabisa.
    umetoka chicha kwenye hiyo picha yako.

    ReplyDelete
  2. Na wewe pia. Vipi naona umetoka kisama-sama baridi imekwisha nini?

    ReplyDelete
  3. mtani Fadhy ahsante sana kwa maoni mazuri nimecheka kweli hapa uliposema "umetoka chicha kwenye hiyo pic ha yako" :-)

    Mija nwe! eti nimetoka kisama- sama, wala baridi haijaisha na hapo nilikuwa najaribu kama nitaweza kusimama dakika moja bila kuganda? Na niliweza:-)

    ReplyDelete
  4. Ahsante sana dada Yasinta. Uwe na wakati mzuri pia

    ReplyDelete
  5. Halafu umeonekana kama umeanza kunenepa,kwani huko mnaruhusiwa kunenepa,Mh umependeza.

    ReplyDelete
  6. Asante kwa sala nzuri na maatashi mema ya J2, nikutakie nawe j2 njema na mwanzo mzuri wa wiki. Umependeza dadangu.

    ReplyDelete
  7. Asante kwa ujumbe,wanawake ni wavumilivu sana ndo mana nampenda sana Mama. Bila mwanamke dunia hii sijui ingekuwaje,Asante Rose pia.

    ReplyDelete
  8. Wao!!!!!!! Nikweli tunahitaji kumushukuru Mungu, Kwani uhai alio tupa na hivi tulivyo ni kwa neema yake tu. Tumwombe Mungu aendelee kutuwezesha pekeyetu hatuwezi. Kazi njema Bwana akutangulie na akuwezeshe katika kila eneo la kazi yako . Ameni. Be blessed.

    ReplyDelete
  9. nakuona dada yangu mwnamke jicho kwakweli wangoni tupo juuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  10. Ubarikiwe kwa kukumbuka hilo

    ReplyDelete