Friday, December 24, 2010

SALAMU ZA CHRISTMAS KUTOKA SWEDEN!!!

Katika familia yetu mimi siwezi kuwa karibu na mti wa Chritsmas. Bahati nzuri tuna hili ua kubwa kama mti ndani ya nyumba kwa hiyo tukaona tuupambe ili uwe mti wa Christmas na hapa unaona jinsi zawadi zilivyojaa najiuliza kama nimekuwa mtoto mzuri kustahili kupata zawadi leo ...Nitawajuza



Na hapa ndipo tutakapo kaa na kula mlo wetu wa christmas pamoja karibuni jjamani tujumuike!!

Na hapa ndio maakuli yenyewe kwa kutumia mikono yetu wenyewe. Ila pilau halikuwepo, labda kesho.

Na hapa sherehe imeanza , kama upo karibu unakaribishwa sana. Skål och GOD JUL ALLIHOPA!!!

7 comments:

  1. jamani hayo mazawadi msinisahau....

    ReplyDelete
  2. HONGERA KWA ZAWADI NA MTI WA KIANA YA PEKEE,SIKUYAJUA HAYO MIE,NA ZAWADI USITUNYIME NA SIE .

    ReplyDelete
  3. Krismasi njema kwako dada yangu na familia kwa ujumla!

    ReplyDelete
  4. Heri ya krismasi na mwaka mpya! Cheers/Kiipis.

    ReplyDelete
  5. HERI YA KRITHMATHHHHHHH!!!!!
    HUU MWALIKO UNGEKUJA SIKU MBILI KABLA...MHHHH! NADHANI NISINGEKOSA!!!!
    BE BLESSED DEAR!
    (afadhali...msosi wa Krismas umetukutanisha na familia yako laivu!!!) Safi sana!
    Sherehe njema dada pamoja na familia nzima!!!

    ReplyDelete