Saturday, December 25, 2010

BWANA YESU AMEZALIWA LEO HORINI TWENDE TUKAMWONE NA ROZI MHANDO!!!



Leo ni jumamosi pia ni siku aliyozaliwa bwana wetu Yesu Kristu hasa kwa wakatoliki leo ndio sherehe kubwa. HAYA CHRISTMAS NJEMA WOOOOOOOOOOOOTE KWA MARA NYINGINE TENA NA MWISHO MWEMA WA JUMA!!! TUTAONANA TENA WAKATI MWINGINE!!!

5 comments:

  1. Na wewe pia pamoja na familia yako dada! God bless!

    ReplyDelete
  2. Na weye pia!

    Mpe salamu zangu Yesu basi kama utaongea naye leo!

    ReplyDelete
  3. God Jul till dig med ingawa tulianza jana... hälsa arnen och din andra halv så gott!!! KRAM

    ReplyDelete
  4. Candy1! Ahsante nawe pia ubarikiwe sana

    Simon! Ahsante nawe usherehekee vizuri. Na salamu kwa Yesu zimefika.

    Serina! Tack Hälsa dina barn du mad. Kram tillbaka

    ReplyDelete