Thursday, December 23, 2010

KESHO 24/12 HAPA NDIO CHRITSMAS /JULAFTON!!

Napenda kuwatakieni wote Christmas njema. Ingawa kwa mimi naamini Christmas ni 25/12.Lakini sio mbaya kusherekea mara mbili. Haya sasa angalieni, kila mtu na bahati yako nimetumiwa jogoo huyu rasmi kutoka Kunyumba. Adoli doli adoli .... ila sijui nani atanisaidia kumchinja.Mmmmm, Kaaaazi kwelikweli. CHRISTMAS NJEMA SANA WAPENDWA.... PICHA ZAIDI ZINAKUJA

8 comments:

  1. X-mass njema kwako pia Kigoli!

    Ila huyo jogoo labda anateseka hapo!

    ReplyDelete
  2. Kirisimasi njema dada Yasinta. Wasalimie wanafamilia wote huko!

    ReplyDelete
  3. Siku-KUU njema, wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  4. Yasinta kwa visa? Huyo jogoo miye hoi, kwa kweli bonge la sanaa ya ufungaji wake.

    Haya enjoy na familia tuko pamoja.

    ReplyDelete
  5. xmass njema na kwako pia na kwa familia kwa ujumla

    ReplyDelete
  6. sikukuu njema dada,huyo jogoo ananikumbusha ukienda shamba unafungiwa zawadi na jogoo unapewa na unasukiwa kikapu.ubarikiwe sana kwa kutukumbusha kunyumba.

    ReplyDelete