Saturday, December 18, 2010

PICHA YA WIKI HII!!!

Hii picha imenikumbusha mbali sana . Je wewe msomaji/mtazamaji kuna kitu hapa kinakukumbusha ?JUMAMOSI NJEMA WANDUGU WOTE MNAPENDWA!!!

11 comments:

  1. Jumamosi Njema!


    Ila picha ndogo sana hiyo ikuze kidogo angalau tuone HIPS basi MDADA!:-(

    ReplyDelete
  2. Haha ha haa Simon vipi hata wazee hao watakua na HIPS wameshapitwa na wakati, Ila mimi nimependa staili ya mguu huyo mzee alivyoweka wanakumbuka enzi za ujana.

    ReplyDelete
  3. mzee ni mmoja tu hapo. ila kuna vitu vingi 'vya wiki' katika picha hii. vipi kuhusu staili ya matofali yalivyosimamishwa vertically kozi ya kwanza chini.

    ReplyDelete
  4. Naona umeikuza sasa! Ila huyo babu aondoe basi mkono kwenye nyonyo basi!:-)

    ReplyDelete
  5. mimi nilikuwa naitaka hiyo nyundo kama mzee ataniuzia jumamosi njema

    ReplyDelete
  6. Je tunaweza kusema wawili hao ni wapenzi?

    ReplyDelete
  7. Mafunzo kwangu yanategemea huyo mzee ni nani

    ReplyDelete
  8. Inakukumbusha MD mitaa gani? Kwe ukalichicha?

    ReplyDelete
  9. Huu ni utani wa babu na mjukuu wake, siunajua hiyo huku kwetu Africa. Lakini nimesikia kisa kimoja utani huu ulifanya babu akambaka mjukuu wake.

    ReplyDelete
  10. haya ni mapozi ya zamani kama kuweka kishoka dole na shaili ya miguu kwa kujiandaa kwa kupiga pisha ukuwa mchafu kwa luga nyingine umebuka sana na vumbi asante

    ReplyDelete
  11. Samahani nimejikuta nawaza vibaya,
    Siku hizi wazee wameharibika kukaa hivyo na mjukuu wake unaweza mkuta inakuwa habari ingine
    uaminifu sku hzi ni 0 kbs. Shetani yupo kzn 24hrs

    ReplyDelete