Sunday, December 19, 2010

LEO NI JUMAPILI YA MWISHO YA MAJILIO!!!

Ee Bwana na Mungu wangu,
Uliye mwanzo na mwisho wangu,
Kuanzia sasa najuweka mikononi mwako,
Unitumie kulingana na mapenzi yako,
Kisha unifundishe njia ya kupanda ngazi ya kukufikia.
NAWATAKIENI JUMAPILI HII YA MWISHO WA MAJILIO YAKE YESU IWE NJEMA SANA!!!!

4 comments:

  1. Nawe pia Da Yasinta. Kila la kheri wewe na familia yako...

    ReplyDelete
  2. Kaka M.M (M2) Ahsante sana kwa kutochoka kupita hapa na kuacha chochote. nawe ukae salama na familia yako pia:-)

    ReplyDelete
  3. Naona M.M siku hizi ana majukumu sana, nami siachelewa kukutakia J2 iliyokuwa njema!

    ReplyDelete