Watoto hawa ni mapacha ni watoto wa rafiki/mlongo yangu/wangu dada Anastacia Felbo. Wao wanaishi nchini Danmark Leo hii wanatimiza miaka miwili mapacha hawa, napenda kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awalinde wawe na afya njema pia. Pia nawatakieni kila jema katika makuzi yenu. Na halafu napenda kuwaombea wazazi/walezi wenu wawe na nguvu daima ya kuwatunza na nyinyi pia muwe wasikivu/watiifu pia. HONGERA SANA KWA SIKU YENU YA KUZALIWA Audrej na Christian(VANA VANGU)!!!!!! na jumapili njema pia wandugu:-)
Nami pia natoa pongezi zangu kwa watoto hawa wazuri, pia kwa wazazi wao. Nawatakia maisha mema sana na yenye mafanikio siku zote.
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY AUDREY & CHRISTIAN.
CHIBI.
NIMERUDI, hongereni waungwana.
ReplyDeleteMungu awabariki katika maisha yenu!
ReplyDeletemungu azidi kuwaongezea uhai
ReplyDelete