Saturday, November 20, 2010

MUWE NA JUMAMOSI NJEMA NA WIMBO HUU!!!



Wimbo huu nimeupenda ni mdogo wangu ndiye aliye niambia kuwa kuna kawimbo kazuri na nilipokasikiliaza nikavutiwa nako sana. Natamani kuwa na wewe.... Jumamosi njema wajameni!!!!

4 comments:

  1. Uwe na JUMAMOSI NZURI PIA ewe MTOTO MZURI KWELI wa NGONYANI!

    ReplyDelete
  2. ahsante dada, jumamosi njema nawe pia.

    ReplyDelete
  3. Asante sana Dada Yasinta, nawe pia uwe na Jumamosi njema sana na Familia yako yote.

    ReplyDelete
  4. Nyimbo nzuri lakini kujipodoa kule kote!

    Ha en bra helg vännen!

    ReplyDelete