Tuesday, November 16, 2010

Angalia fahari ya Tanzania hii ni Ngorongoro!!!!

Chui angalia jinsi anavyopendeza
Simba, jamani nisaidieni kuna aduiiiii

Ah! ngoja nipumzike kidogo Kifaru anasema!!!
Picha hizi nimetumiwa na msomaji wa blog ya Maisha na Mafanikia ambaye pia ni mdogo wangu wa hiari raha heeee!!!!Naipenda sana nchi yangu na ufahari tulionao.

1 comment:

  1. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote , nchi yangu Tanzani Jina lako ni tamu sana... Naipenda nchi yangu na nitaitangaza daima

    ReplyDelete