Katika kijiji kimoja kulitokea kuwa na penya wengi sana. Na wanakijiji wakaona wampe paka mmoja na rafiki zake kazi ya kuua wale panya. Baada ya mwaka mmoja paka waote walikuwa wameua idadi ya panya sawa, jumla walikuwa wameua panya 1111111, na kila mmoja paka aliua zaidi ya idadi ya panya zaidi kuliko idadi ya paka walikuwa. Je? Ni paka wangapi walikuja kijijini?
ngoja kwanza nkatafute ugimbi! Nitarudi kaa hapo hapo kwani wengine vilaza...bila ugimbi waweza usiambulie jibu hata kwa mkong'oto....lol!
ReplyDeletenimegwaya ngoja nikumbushie njia ya kukokotoa niliyofundishwa na mwalimu wangu wa shule ya msingi Maguluwangu hapo labda nitafanikiwa kupata jibu
ReplyDeletewe dada Yasinta una bahati sana leo sina mawani yangu. Hii hesabu rahisi kama nini!!! Ngoja nitafute mawani yangu, nikiipata narudi hapa!!! LOL!!
ReplyDeletehata mimi siyo kwamba sina majibu, sema tu leo sitaki kujumlisha, teh teh, ila nina swali, hao paka wote umewapataje na unawatunzaje?
ReplyDeleteHa ha ha haaaaaa! wote mnasema tutarudi mara mnataka ugimbi kwanza na mwingine miwani...mara nikamuulize mwalimu wangu wa shule ya msingi...na wewe Subi eti sitaki kupiga hesabu leo..lol kaazi kwelikweli...
ReplyDeleteMajibu nitayaleta taratibu taratibu.
ReplyDeleteNianze na sehemu ndogo kabisa ya jibu. Paka haishii tu kuua, hula pia panya waliouliwa.
Nitarejea tena, pole pole ndio mwendo.
Ila mfalme kama anavaa miwani, anaonesha amekula chumvi nyingi, atalijibu kwa uzoefu, amuombe mjukuu wake amsomee swali!!
Ngoja nikatafute kalikuleta yangu kwanza nami nitarudi..
ReplyDeletemh!!
ReplyDeleteToA jibu plz dada
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteApo umesema kijiji kilikua na penya wengi alafu panya
ReplyDeleteApo umesema kijiji kilikua na penya wengi alafu panya
ReplyDeleteadmin hata yeye hajui jibu , maana toka 2010 mpaka leo hajatupatia majibu ..... kama anabisha kuwa hajui aje hapa atupatie majibu
ReplyDelete