Ni Ijumaa mpja ya mwezi, kula kwanza halafu kunywa!!
Napenda kuwatakieni IJUMAA njema na mpya /ya kwanza ya mwezi huu wa kumi. Kila mtu leo atasema sasa nimemaliza kazi ngoja nipumzika na nipate moja baridi!ugimbi. Ni sawa lakini kumbuka kula kwanza ni MUHIMU sana. IJUMAA NJEMA!!!
....YES....mtori kwanza kisha mbege ha ha ha haaaa!
ReplyDeleteAsante Yasinta, na wewe pia.
ReplyDeleteIjumaa njema kwako pia,
ReplyDeleteMaziwa kwanza kisha matunda...
ReplyDeleteIjumaa njema kwako pia
Mmmmhhh!
ReplyDeleteIjumaa njema kwangu ni makande kwa juice
ReplyDelete