Friday, October 29, 2010

Haya wandugu niambieni hapa ni Kanyigo au Mbinga???

NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA SANA NA MWISHO WA JUMA MWEMA NA PIA LABDA MWISHO WA IJUMAA YA MWEZI HUU WA KUMI.!!!

7 comments:

  1. lkn dada yasinta unanipa raha mimi naona hapa Mbinga
    hope

    ReplyDelete
  2. duuuh hata sijui wangu,,weekend njema mpendwa

    ReplyDelete
  3. Kwa soni ya binti huyo, hakika hapo ni Mbinga

    ReplyDelete
  4. Hapo, mh sijui wapi, lakini bado nashangaa huyo kijana anajaribu nini hapo!!

    ReplyDelete
  5. Hapo ni swala la nataka -sitaki nini?

    Sehemu zote ulizotaja zote sizijui kwa hiyo jibu sina. Ila binti ana bomba zahoteli za mtoto .:-)

    Ijumaa njema kwako pia Bonti Ngonyani!

    ReplyDelete
  6. Hapa itakuwa Mbinga, Kanyigo lazima tungeona mgomba

    ReplyDelete
  7. Ebana eh"njoo beibii njoo mtoto mzuri njoo nikutume dukani njoo basi mi c kakako njoooo, ntakunulia pipi kijiti utakula weeee mpaka basiii

    ReplyDelete