Thursday, October 28, 2010

WANABLOGGERS KUKUTANA JANA MJI WA TAMPERE


Malkiory Matiya na Mtakatifu Simon Kitururu
wakutana uso kwa uso!!!

Wanablogger hawa walikutana jana katika mji wa Tampare. kujua nini kilitokea huko bonyeza
Mtakatifu Simon na pia Malkiory Matiya. Ila jamani ugimbi huo mmmmhhh!!!

14 comments:

  1. yaani imeshageuzwa na kuitwa chai, ha ha haaa.
    Kuna mtu fulani alisema at Mt. bila hiyo "chai" hawezi kuandika vizuri makala kwenye blogu yake

    ReplyDelete
  2. Chai au chai? Ahsante kwa kukutana natumai mambo safiii!

    ReplyDelete
  3. Weeee MTAKATIFU usitudanganye bwana,chai gani ina povu?
    Hahaaa i hope you had great time.

    ReplyDelete
  4. kwa heshima na taadhima naja kusalimu dada yangu , u mzima weye? juzi nlirejea kimya kimya, ila mama alinifundisha uungwana ni kubisha hodi.

    ReplyDelete
  5. Hahahaa! mtakatifu na chai ya mchai chai....kajisemea EDNA mbona inapovu?mmmh! hiyo nikwa ajili ya mtakatifu SIMON pekee.

    ReplyDelete
  6. Jamani ni CHAI ya unga wa mihogo hii!:-)

    Na mlaumu Mkuu CHIB aliyeanza ku-DOUBT nini kinasaidia MKUTANO!:-)

    ReplyDelete
  7. Hivi Ugimbi kwa kingoni unaitwaje? Teh teh teh

    ReplyDelete
  8. chai ya maji taka ya ilala au iwambi mbeya. hope you had gud taim. frothy tea?

    ReplyDelete
  9. Mtakatifu, kisaidiacho mkutano ni "Chai" mkuu :-)

    ReplyDelete