Nimekuwa likizo wiki tatu sasa na bahati mbaya au nzuri wakati huu wote kumekuwa na mvua tu kwa maana hiyo likizo yangu haikuwa nzuri na hakuwa kama nilivyopanga- Haya sasa nimerudi tena katika ulimwengu huu wa kublog na nipo nanyi ndugu zangu tena. Ni furaha sana kuwa nanyi na nilikuwa nimewa-miss sana sijui kama nanyi mlini-miss mie?
karibuni
ReplyDeletekaribu tena na tena dada. tupo pamoja
ReplyDeleteKarubu tena, natumai una zawadi nyingi, umependeza kweli..lol
ReplyDeleteLikizo,miaka 400 sijui likizo ni nini,natamani niende kijijini nami.
ReplyDeleteKaribu sana.
WELLCOME BACK SISTER, ENJOY LIFE IWE KAMA KILA SIKU KUNA LIKIZO USIKU.UKIFIKIRI LIKIZO YA KWENDA MAPUMZIKO HUWA HAIWI MAPUMZIKO BALI KAZI ZA AINA NYINGINE.
ReplyDeleteJOHNS
karibu tena, tulikumiss kweli,maana kila tukipita hapa ilikuwa ni hola!
ReplyDeleteKaribu tena nyumbani "mtani" wangu. Ungonini hawajambo wote? Umetuletea zawadi ya "Chamaki Nchanga?"
ReplyDeleteNaona ilikuwa ni beach kwa kwenda mbele, maana naona umekuwa-Black zaidi. Karibu sana, tuliku-miss sana.
It's Great To Be Black=Blackmannen
Karibu nilikumiss.
ReplyDeleteKaribu sana da Yasinta. Bila shaka ulikuwa na wakati mzuri sana.
ReplyDeleteNapenda kuchukua nafasi hii na kuwashukuruni wote mlionikaribisha tena katika ulimwengu huu wa kublog na pia hata wale waliopita na kusoma tu. Likizo yangu likuwa nzuri kiasi kwani wakati wote nipo likizo kumekuwa na mvu mvu mvua. Lakini hata hivyo nafurahi nimekuwa na familia yangu wakati wote na pia nimepumzika vya kutosha na kupumzisha akili. Sasa nipo nanyi pia. Upendo Daima...Wote mnapendwa.
ReplyDeleteDada Yassy karibu sana!, Siamini kabisa macho yangu,Upo Fiti yaani kama vile "mwaka arobaini na sabaaaaa!" unaonekana kama una miaka 18, Hongera endelea hivyo kutunza mwili wako.
ReplyDeletekaribu tena mwanakwetu tulikukosa sana!!!
ReplyDeletekaribu tena!
ReplyDeletePicha Bomba! Mdada weye mzuri!:-(
ReplyDeleteYes baby, Karibu sana, tulikumiss mno
ReplyDeleteNatumaini umerudi kwa kasi mpya, nguvu mpya na ...Karibu sana dada Yasinta.
ReplyDeleteKaribu nitaanza kuomba sura za kile kitabu chetu. SIJASAHAU!!!