Monday, July 5, 2010

Siri ya herufi ya mwanzo ya Jina lako

Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.

>HERUFI A
>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
>HERUFI C
>Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,
>HERUFI D
>Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
>HERUFI E
>Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,
>
>HERUFI F
>Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,
>HERUFI G
>Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,
>HERUFI H
>Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,
>HERUFI I
>Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
>HERUFI J
>Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
>HERUFI K
>Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
>HERUFI L
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
>HERUFI M
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI N
>Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe
>
>HERUFI O
>Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha
>HERUFI P
>Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa
>HERUFI Q
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba
>HERUFI R
>Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke
>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani
>HERUFI T
>Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge
>HERUFI U
>Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.
>HERUFI V
>Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.
>HERUFI W
>Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.
>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
>HERUFI Y (YASINTA)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI Z
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.

Habari hii nimeipata Jamii Forum ......

55 comments:

  1. Herufi E ni ukweli mtupu kuhusu mimi hahaaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. 𝗦𝘄𝗮𝗹𝗶 𝗹𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗻𝗶𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘂𝗸𝗶𝗽𝗲𝘄𝗮 𝗷𝗶𝗻𝗮 𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗻𝗮 𝘁𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝘂𝗹𝗶𝘆𝗼 𝘇𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗺𝗳𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗲𝘄𝗲 𝗷𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗼 𝗹𝗶𝗻𝗮 𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗟 𝗮𝗳𝘂 𝘂𝗺𝗲𝘇𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 23 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 7 𝗵𝗮𝗱𝗶 8 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶, 𝗜𝗻𝗮𝗸𝘂𝗮𝗷𝗲 𝗻𝗶𝗽𝗲 𝘂𝗳𝗮𝗳𝗮𝗻𝘂𝘇𝗶 𝗺𝗸𝘂𝘂

      Delete
  2. herufi M? nina nyota ya Ng'ombe. inakuwaje hapo? sijawa mropokaji, inakuwaje? KUHUSU MIMI, duh1 sijui yaweza kuwa siyo kila ndiyo ina ndiyo kiundani maana kuna ndiyo zingine huambatana na utani. kuona ni kuamini jamani. mie simoooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mm sielewi mm huyohuyo unakuta nyota ya mzani,ukifungua kule tarehe unakuta ninanyota ya mbuzi,mara Tena unakuta ninanyota ya pacha 🙄🙄🙄🙄🙄🙄

      Delete
  3. Mpangala kama ulikuwepo mawazoni mwangu na mimi nyota yangu ng'ombe na hizo tabia si zangu kabisa..

    Hawa watabiri huwa ni wajanja sana.

    ReplyDelete
  4. Nimeipenda sana hii, BBBBBBBB daima! Baraka

    ReplyDelete
  5. Herufi zangu ni F & N
    Kweli mimi ni Mtetezi, Mbunifu & Mwenye Mapenzi..!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah,hata mm pia, ni mtetezi ,mwenye mapenzi ya dhati nimekubal herufi F, ni balaa

      Delete
  6. Ijapokuwa mimi siamini vitu kama hivi, lakini herufi "B" is him, I mean "Black=Blackmannen". Mtu yeyote akiisema vibaya "My Motherland, Tanzania", heri ajichimbie shimo afe kabla sijamweka mikononi...!!!

    This Is Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  7. Unanikumbusha mbali yupo rafiki yangu alikwenda kwa mganga wa kienyeji kupiga ramli, alipofika hapo yule mganga akafanya mambo yake,

    Kwa mwoga ukimona alivyokuwa akifanya utaogopa, akaanza kuonge,na kusema mchawi wako ni mrefu mfupi hivi, mnene mwembamba hivi,....

    Unaona yeye anachofanya ni kuiteka nafsi yako, maana una pupa na umeogopeshwa, utabakia kujibu `taire' na akili yako itachukkua kile ulichokuwa nacho kuwa mchawi wako ni mrefu au ni mfupi,....yule yule uliyekuwa ukimzania au humpendi ndiye utamnyoshea kidole...

    Sasa hizi nyota ziangalie kwa makini...ni yale yale, kama unaamini sio mbaya, kama huamini kalabagwe...

    ReplyDelete
  8. Duh herufi D ni mimi kabisa kasoro biashara 2 ipo kushoto xana

    ReplyDelete
  9. Mimi ni P, ila pia nimeangalia herufi za watu wangu kama, A, L, R, M na P. ni sahihi kabisa, ila ntafatilia nyota gan coz nyota yng ya kuzaliwa nyingne, nyota ya heruf pia nyngne.

    ReplyDelete
  10. J ni yangu, dah, tabia zangu hujakosea hata moja, some time naweza amka na nisijisikie kufanya kazi hadi jioni

    ReplyDelete
  11. Duu mimi ni "m" yaani nyota ya Punda na kwakweli nateseka sana hapa tandale sokoni kwa kubeba mizigo ya watu , kushusha kwenye malori nk. Je nikibadili jina kwa kubatizwa nitajikwamua? Balaaa,!

    ReplyDelete
  12. b yangu, achen utan. waongo,mbona yote ni ya kwel?

    ReplyDelete
  13. mi naxhndwa xema ka naamin, ila yaliyoelezwa ni kweli. B ni yangu Bright na mpenz wangu Bertha, xifa zote tunazo wote na nilkuwa na mpenz wang wa zaman mwenye heruf C anaitwa Clara, ila tuliacha kutokana na xifa zake kama zilivyotajwa kutofautiana. jaman, sa jaman kama herufi haziendan ndo mapenz yanajaa misukosuko?

    ReplyDelete
  14. Aaahh ukweli mtupu kuhusu A I trust on it.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wow jaman n kwel kabsa mmjna langu n erica en caren

      Delete
  15. Kwamimi nimewini badokinunua garitu

    ReplyDelete
  16. Nmeipenda B Na imeendana Na nyota yangu maana nyota yangu ni ng'ombe kweli

    ReplyDelete
  17. Nmeipenda B Na imeendana Na nyota yangu maana nyota yangu ni ng'ombe kweli

    ReplyDelete
  18. Jamani B sina ubishi nayo BONIFAS

    ReplyDelete
  19. Jamani B sina ubishi nayo BONIFAS

    ReplyDelete
    Replies
    1. B jamani iko sawa kabisa. Bahati

      Delete
  20. This is very nice one and gives indepth information. Thanks for this nice article.

    ReplyDelete
  21. Mm Ni kweli nafanana Na herufi yangu R

    ReplyDelete
  22. Herufi sisi wakina ally hasa mimi hivi tabia ninazo niukweli mtupu sipingani na nyota yangu

    ReplyDelete
  23. Ivi niulize mbona sehemu nyingne katika machapisho ya jina na nyota hua sielewi kwa sababu yaatofautiana ukipita huku wewe mizani ukipita huku wewe mashuke hapo ukweli upo ila umefungwa na kuujua ukweli hapo ni ngumu

    ReplyDelete
  24. Hapo kweny S mmmh! Sijui kwakwel.

    ReplyDelete
  25. Herufi Mimi najiona kabisa pamoja na herufi l nimeona safi

    ReplyDelete
  26. Amini kwamb herufi j iko sahihi kabisa kwang

    ReplyDelete
  27. Mnaposkia utabir aimaanish kwamb ndo wapo sauw moj kwa moj kun vit vngn vinakuw sahih lkn vingn vinakosew kwaiy tuwe makin watoa comment co tunalaum tyu
    Man hat utabir wa hal ya hewa unawez ukaambiw kuw itanyesh mvua cku3 mfululizo na matokeo yake isinyesh ko ndo ipo ivo, na hat utabir wa nyot upo ivo ivo

    ReplyDelete
  28. Je herufi z ina nyota gan katika mafanikio na tabia kiujumla??

    ReplyDelete
    Replies
    1. HERUFI Z
      >Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.

      Delete
  29. Helufi "k" ni ukwel kbc yaani naweza kujua kitu ambacho hakitazamiki machoni

    ReplyDelete
  30. Heruf H na F nyota zao aziwez fanana ?

    ReplyDelete
  31. Mim vingine xawa lakin mafanikiyo siyawoni hata

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapa kunakamchezo kakubahatsha hdunia kubwa sana kunakamchezo kakubahatisha

      Delete