Friday, July 16, 2010

HATIMAYE JANA NIMESUKWA TENA BAADA YA MIEZI SITA, KAAZI KWELIKWELI!!

Mtaka cha uvungoni sharti ainame

Masaa sita na nusu baadaye nilikuwa hivi. Kuchoka pia :-)
Ijumaa njema tutaonana wakati mwingine!!!!!!!


17 comments:

  1. mmmh!

    Mbali na kuchoka inaonekana pia umeshiba sana....lol!

    ReplyDelete
  2. Mhh wish mimi ndio ningekuwa huo mto...........

    ReplyDelete
  3. HATIMAYEjJANA....

    MTAKA CHA UVUNGONI....

    Sipendi kabisa!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Usiye na jina unaweza kutuambia kwa nini hupendi kabisa haya mmaneno.

    HATIMAYEjJANA....

    MTAKA CHA UVUNGONI....

    Sipendi kabisa!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Mtoto Mzuri umependeza!

    Cheka basi halafu WAKATI UNAFANIKISHA TABASAMU rudia picha ya chini .....:-(

    Wikiendi njema Dada Yasinta!

    ReplyDelete
  6. Ila kusema cha ukweli umetoka boooombi kweli. Sisemi sana ntamkwaza mama mkwe bure nikose mwana na maji ya moto.

    ReplyDelete
  7. upenzindi mlongo wangu na wewe weekend njema na watoto

    ReplyDelete
  8. Umependeza sana dada yangu. Masaa sita yanachosha sana eeh.. Ila ndiyo hivyo tena mtaka cha uvunguni... Wiki endi njema wewe na familia pia...

    ReplyDelete
  9. Una kazi dada, yote hiyo ni kutaka tusikupore huyo mumeo!

    ReplyDelete
  10. Mwanamitindo utamjua tu! Pamoja na kuchoka lakini bado upo katika pozi matata kwenye hiyo picha ya chini.

    Nami nasubiri jibu la asiye na jina.

    ReplyDelete
  11. Ni wikiendi njema kikweli kweli maana tarehe 18 Julai ni siku ya Mandela na Blackmannen, ni siku yetu ya kuzaliwa ijapokuwa umri wetu ni tofauti.

    Duh! Lakini dada Yasinta, msusi wako ningependa anisuke na mimi mtindo wa "Mtakatifu Saimon". Kwa jinsi uso wake unavyovutia. Kumbe kuna wasusi wazuri duniani.

    It's Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  12. umependeza mwenyewe,ila masaa sita ulikiona cha moto mie masaa mawili tu huwa nakuwa hoiiiii.

    ReplyDelete
  13. umependeza shost

    ReplyDelete