Ua hili ni zuri na linapendeza. Hata nyuki amevutiwa nalo. Ni mfano wa Kristo aliyefufuka kutoka wafu. Nasi tuvutike kwenda kwenye utukufu wake.
Jumapili njema kwa watu wote na mwisho mwema wa juma hili. Na kumbukeni wote mnapendwa!!!!
Jumapili njema kwa watu wote na mwisho mwema wa juma hili. Na kumbukeni wote mnapendwa!!!!
Ahsante sana da Yasinta kwa kutupenda na kututakia Jumapili njema. Nasi twakupenda pia na twakutakia siku njema wewe na familia yako.
ReplyDeleteAhsante mtani Fadhy kwa kutochoka kupita hapa kibarazani na kutoa mawili matatu yako mawazo. Nakutakia nawe pia j2 jema sana binafsi wikiend yote nimemalizia kazini. Upendo Daima
ReplyDelete