Nimeipenda hii picha na nimeona iwe picha ya wiki hii. Rangi za mavazi ni rangi ambazo zinawakilisha nchi yetu Tanzania. Na pia nimependa mwanamtindo huyu kwa mtindo wake wa nywele..
Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaaNi "Reggae sasambua sytle" iliyoimbwa na Dada Saida Karoli kuhusu sweet Tanzania
Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaaNi "Reggae sasambua sytle" iliyoimbwa na Dada Saida Karoli kuhusu sweet Tanzania
Hahahahhahahahhahahahahhahahahahhahahahhahahahahahahhahahahahahhaaaaaaaaaa!!! Mi simjui jamani naomba mnisaidie!
ReplyDeleteI love that get up tho! Hehe dada Yasinta yaani umeifanya siku yangu kuwa nzuri :-)
That is probably Mube wa Bandioz!!!!!!!
ReplyDeleteHuyu nadhani ni mjomba wao kina Camilla, Manjula, Erick, Mija, baba mdogo wa Fidelia Nkugi na baba mzazi wa Paulina.
ReplyDeletekwekwekwe,Mzee Wa Changamotoooooooo.
ReplyDeleteHuyu ni mbunge wa kanyigo papa mukulu muzee ya changamoto. Jamaa nadhani kanywa maji ya bendera. Kapendeza kweli hapa. Natumaini agency za umodo wako macho wazi.
ReplyDeleteHe he heeee, mimi namuona mtu fulani mwenye hekima na busara
ReplyDeleteHuyu ni kaka yetu Mubelwa Bandio au ukipenda muitee mzee wa changamoto!!
ReplyDeleteHuyo ni Mushaija wa kule Kashasha Mzee wa Changamoto
ReplyDeleteankal wake hery
ReplyDeleteNaomba msaada wenu jamani, hivi Candy1 hawezi kuzungumza kiswahili kamili ni lazima aongeze na kiingilishi? Au kwa vile kakulia Uingilishini ndiyo lazima iwe hivyo?
ReplyDeleteMbona mimi nina waingilishi wengi ninaowafahamu hadi wale waliozaliwa Tanzania hakuna anayeongea na kiswahili chenye chenga ya kiswahili na kiingilishi?
Wao huongea kiingilishi chao kamili na unapoongea nao kiswahili huongea kiswahili kamili hadi mwisho. Je, sisi Watanzania hii ni nini? Ni Ubishoo au nini????
This Is Black=Blackmannen
Wote asanteni kwa kupita hapa na kuacha maoni. Hiyo picha ni ya uasili wa mwana wa kiafrika naipenda sana.
ReplyDeleteobat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec
ReplyDelete