Sunday, June 20, 2010

Nawatakieni jumapili njema kwa wimbo huu!!



JUMAPILI NJEMA KWA WOTEEEEEE. NA TUKUMBUKE YA KWAMBA KRISTU NDIO TUMAINI LETU!!

2 comments:

  1. Ni Kristu huyo huyo aliyeleta dini ambazo ni maandiko ambayo hata wewe unaweza kuandika, ndio leo ni tumaini lako? labda ukubali kwamba ulipotoka katika moja ya mabandiko yako!!

    ReplyDelete
  2. Kristu amenkuwa tumaini langu na ataendelea kuwa tumaini langu. Jumapili njema usiye na jina

    ReplyDelete