Mzee wa Nondozi – MAKULILO, Jr. Jumamosi May 22, 2010 amekula NONDOZI – Masters of Arts in Peace and Justice at the University of San Diego (USD) huko California. Hii ni katika kuelekea katika Ph.D in Conflict Analysis and Resolution katika mwaka mpya wa masomo ujao.
Mdau MAKULILO, Jr. ana mpango wa kwenda likizo nyumbani Tanzania akiambatana na mke wake. Katikalikizo hiyo atafanya semina na midahalo kwa watu kuhusu ni jinsi gani mtu unaweza kupata vyuo na SCHOLARSHIPS Ughaibuni. MAKULILO, Jr. yeye mwenyewe amefaidika kwa kupata scholarships zaidi ya nne kwa ndani ya miaka miwili. Na anapenda kuhakikisha wadau wengi wanafaidika na nafasi hizi zilizopo Ughaibuni. Ratiba ya semina na special talks itatangazwa baadaye mara maandalizi yakiwa sawa.

PICHA ZA MAHAFALI
Mdau MAKULILO mara baada ya kula nondozi yake Jumamosi May 22, 2010MAKULILO Akishangilia kula nondozi
Makulilo akiwa na wanadarasa wenzake waliokula nondozi pamoja
MAKULILO akipongezwa na mke wake Bi. Marie Makulilo
Makulilo na mwalimu wake, Dr. Ami Carpenter
MAKULILO akiwa na Dean of School of Peace, Fr. Bill Headley, PhD
MAKULILO na rafiki zake, Fr. Daniel (Kenya), Ghulam (Afghanstan) wakiwa nje ya School of Peace and Justice
KWA WANAOTAFUTA NONDOZI UGHAIBUNI NA SCHOLARSHIPS,
Tembelea
1. SCHOLARSHIP FORUM http://www.scholarshipnetwork.ning.com/
2. MAKULILO BLOG http://www.makulilo.blogspot.com/
MDAU
MAKULILO, Jr.
San Diego, CA
Da Yasinta,
ReplyDeleteAsante, na ninafurahi kuweka habari hii hapa.
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com
San Diego, CA
Yeeeees you made it,Hongera sana kaka Makulilo.
ReplyDeleteHongera Mkuu!
ReplyDeleteRaha sana.
ReplyDeletehongera mkuu kwa kula nondoz!
ReplyDeleteMkuu hongera sana. Hakika umefanya kweli. Nakutakia kila la kheri na fanaka katika kuyatumia yale yote uliyojifunza kwa faida ya jamii yetu...
ReplyDeleteNapenda kuwashukuruni wote kwa kutochoka kupita hapa Maisha na Mafanikio . Nami napenda kusema HONGERA sana kaka Ernest ni mfano mzuri wa kuiga kama ulivyosema wewe mwenyewe " kama nimeweza mimi basi hayta nanyi mtaweza" ni kweli kabsa. Upendo Daima!!
ReplyDelete