Tuesday, May 25, 2010

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MDOGO WANGU KOERO MKUNDI!!!

Hongera Mdogo wangu Koero mkundi

Terehe hii ya leo 25/5- mwaka jaza wewe mwenyewe ilikuwa ni siku ya furaha na baraka kubwa ndani ya familia ya mzee Japhet Mkundi na Mama Namsifu. Hii yote ni kutokana na kuzaliwa kwako Koero. Napenda kutoa SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA WAZAZI kwa jinsi walivyokulea na kuwa kama ulivyo.
Binafsi najivuna sana kukufahamu, tumekuwa tunawasiliana, tunatakiana hali kila leo, tunashauriana na pia dogo au kwangu ni kubwa zaidi umekuwa MDOGO WANGU WA HIARI.
Mimi na familia yangu tunakupenda, tunakuheshimu,tunakuthamini na pia tunakutakia kila ufanyalo liwe na mafanikio mema.
HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA MDOGO WANGU KOERO MKUNDI!!!
NIMESHINDWA KUJA NA KUWA NAWE LEO NA KUKUIMBIA KWA HIYO NAWEKA WIMBO HUU AMBAO UMEIMBWA NA STEVIE WONDER. KARIBUNI TUJUMUIKE...







21 comments:

  1. Heri ya siku ya kuzaliwa Da Mdogo.
    Nakupenda, Nakuombea na nakutakia kila lililo jema

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday sis!!! God bless you! Much love from ur lil sis, candy1 x

    ReplyDelete
  3. Happy birthday to you sis. Mungu akujalie miakA lukuki zaidi na akubariki wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  4. Heri ya siku ya kuzaliwa mchungaji Koero Mkundi. Uwe na maisha marefu sana ili libeneke liendelee.

    ReplyDelete
  5. Nawashukuru kwa kumtakia mwanangu siku ya kuzaliwa.
    Kwa kuwa amezaliwa leo kaniomba niwape salaam zake.

    Mama Koero

    ReplyDelete
  6. Hongera sana kwa kuadhimisha kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa Koero.

    ReplyDelete
  7. labda niwashukuru walitawaliwa na mihemko na kufanya vitu sirini na siri hiyo ikageuka kuwa matokeo yamrembo Koero.

    mihemko ya siku ile juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Happy birthday Koero Mungu azidi kukupa maisha marefu,hekima zaidi na mafanikio kwa kila unalokusudia kufanya lifanikiwe

    ReplyDelete
  9. Hongera! Nakutakia maisha marefu!

    ReplyDelete
  10. Koero hongera sana. Mama na baba Koero pia hongereni kwa kumtunza vyema binti Koero, ni mwanamke wa shoka hasa. Basi Koero katika mwaka huu unaouanza shika sana ulichonacho wasije watu wakakupokonya.....

    Siku njema.

    ReplyDelete
  11. Happy birthday Koero,mungu akupe maisha marefu yenye furaha na upendo na akuongoze katika kutimiza ndoto yako.

    Lini unakwenda kumtembelea bibi Koero? napenda kusikia hadithi zake ni muda mrefu kidogo sijazisikia, msalimie sana pamoja na mama Namsifu.
    xoxo!

    ReplyDelete
  12. Happy birthday Koero,nakutakia kila lililo la heri katika maisha yako.

    ReplyDelete
  13. happy birthday Koero,
    Mbona hajataja how old yuko au umri wa mtu ni siri jama!!

    ReplyDelete
  14. Napenda kuchukua nafasi hii kwa kuwashukuru wote kwa kumtakia kila la kheri mdogo weangu wa "Hiari" pongezi nyingi na nzuri za siku yake ya kuzaliwa.

    Nami nasema Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa uwe na miaka mingi na uwe na mafanikio mazuri kwa kila jambo utendalo. Upendo Daima.

    ReplyDelete