Wednesday, May 26, 2010

Maji safi na salama ya kunywa kwa kutumia jua!!

Maji ni muhimu kwa kila binadamu, maji bila wadudu ni muhimu zaidi. Wengi kwa kuatapa Kupata maji salama tunahitaji kuchemsha. Lakini sasa unaweza kupata maji bila kutumia kuni au mkaa sio ndoto, kama unatumia "Solvatten". soma hapa

6 comments:

  1. Hii safi sana, ila nimeshindwa kufungua link hebu icheki tena.

    ReplyDelete
  2. mpaka ije itufikie akina sie huku tutakuwa tushakula yale alokula Da Keoro mpaka basi....lol

    ReplyDelete
  3. Yangetufaa kweli watu wa dasalama.....Koero upoo! hiyo ni Typhoid proog

    ReplyDelete
  4. Ukiwa field na hili dumu mambo safi, sasa sijui nani atakuwa dealer wa haya madude hapa nchini kwetu, halafu yakija yatauzwa ghali

    ReplyDelete
  5. Bei ya Solvatten karibu na Sh 150 000. Nikileta mtanunua?
    Mwl.

    ReplyDelete