Saturday, May 15, 2010

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA UJUMBE NI HUU WA DADA EMMY:-KIBENDI JERUSALEM,TUJYE IYERUSALEMU BY EMMY KOSGEI

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOOOOTEEE!!!

5 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia Da Yasinta na familia yako.

    ReplyDelete
  2. ahsante Edna nawe pia na familia yako. Nimeipenda picha yako hapa umependeza mdada.UPENDO DAIMA!!

    ReplyDelete
  3. jumapili njema na wewe dada ubarikiwe

    ReplyDelete
  4. Ahsanteni wote, Naamini wote mmekuwa na j2 nzuri. Binafsi nimekuwa nikipumzika siku nzima kama kawaida yangu kama siendi kazini basi huwa sifanyi chochote isipokuwa kupunzika. Upendo daima-

    ReplyDelete