Saturday, May 15, 2010

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA MZEE WA LUNDU NYASA

Ni furaha kuwa na rafiki kama wewe na leo ni siku tukufu kwako. Ni siku ambayo ulitokea hapa duniani . Napenda kukutakia yote mema, uishi miaka mingi uwe babu kizee na wajukuu wengi uwe nao. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA MARKUS MPANGALA!!!!!

13 comments:

  1. Markus hongera kwa maadhimisho ya sikukuu yako ya kuzaliwa. Ujaaliwe hari, afya njema na mafanikio tele.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mzee wa Lundu, umefikisha miaka mingapi?

    ReplyDelete
  3. Hongera sana nakutakia kila yalio mema

    ReplyDelete
  4. Rafiki yangu kipenzi Yasinta Binti Gervas Ngonyani! Ni kitu gani kitakachotutenganisha??
    Wew nami kama samaki na maji. AMEN nashukuru kwa upendeleo huu.
    @Dada Subi, nashukuru sana kuwa nami leo, hakika blogu imenitendea maajabu hadi nikajiuliza mimi ni nani?

    Mwl. Klayson a.k.a mzee wa Matetereka, nakushukuru sana, na jina la Matetereka nalipenda sana. Shukrani kuwa nami kwa hili, ASANTE nadhani wanifahamu zaidi.

    MKUU2 Kitururu kwanza nashukuru kuongea na wewe leo, furaha iliyoje jamani mweneyekiti mtakatifu mungu wa wapare. ASANTE kuwa nami leo bonge la taralila

    @Da Mija a.k.a Mwanamke wa shoka!1 Mzee wa Lundu nyasa hafichi kalenda yake ni @27 sasa. ASANTE nimshuhudia maajabu na nguvu ya blogu Movenpick, subiri MICHANO yangu

    Mummyhery @ ASANTE SANA

    ReplyDelete
  5. mie japo nshamtakia LIVE pale Movenpick hotel.

    Hata hivo ujaaliwe saana afya na pia uwe na KITAMBI kama cha Askofu Fadhy na Kardinali kama unavotamani...lol

    ReplyDelete
  6. mie japo nshamtakia LIVE pale Movenpick hotel.

    Hata hivo ujaaliwe saana afya na pia uwe na KITAMBI kama cha Askofu Fadhy na Kardinali kama unavotamani...lol

    ReplyDelete
  7. Kaka Hongera sana, Nasikitika kwamba tulikuandalia Keki pale Movenpick lakini ukasahau kuja na Shoka.......LOL

    ReplyDelete
  8. Nimegundua kwakuwa nilikuja na shoka la kiume, safari ijayo nitafika na shoka la kike maana lipo kenye dali.

    CHACHA sijatamani kitambiiiiiiiiiiiiiiii Lol MCHARUKOOOOO mazoezi baba mazoezi baba baba baba chonde sana lol

    ReplyDelete
  9. Nami ingawa nimekuwaka hapa kibarazani kwangu lakini napenda kusema hongera sana kwa siku ya kuzaliwa kwako Markus. uwe na afya njema na mafanikio mema-

    ReplyDelete
  10. huyu mtu sijuı kapotelea wpaı..au sıjuı mı ndo nımepotea...I remember nılıkuwa mwananchı and he was doıng a fıeld...Much luv bro and Grow to ba wonderfull man!
    Sarah!

    ReplyDelete
  11. Sarp dadangu ni michakato tu inatupoteza, lakini nadhani umekumbuka mitindo yangu ya kuvaa jezi. But waaaoooo i was there kumcheck rafiki yangu Fita Lutonja, siyo field sister, kipindi hicho nilikuwa kitoka Mlimani(UDSM) na kuja kurekebisha mambo ya blo kwa rafiki yangu Fita Lutonja.

    Much respect Sarp

    ReplyDelete