Yasinta, huu ni ujumbe mzito tu na ni muhimu kwetu wanaume ili tuweze kukabiliana na changomoto zinazotukabili hasa katika kuelewa mahitaji ya watu wetu wa karibu, hapa namainisha wake au wapenzi wetu.
Lakini pia tukumbuke kuwa baadhi yetu wanaume tumejitahidi hadi kupita kiasi kuyatekeleza kwa dhati haya mambo mazuri wayapendayo dada zetu, lakini pia wamo akina mama au akina dada waliotumia hizi nafasi vibaya.
Kaka Malkiory asnate sana kwa kutopendelea upande.
Ahsante mtani:-)
Chacha, sina hakika na hiyo habari na pia siwezi kusema hapana. Ni ujumbe mzuri mzee wa changamoto unaeleza mambo ya kweli. Mie natumaini na ningependa mama Pau angesoma hapa---LOL
Yasinta, huu ni ujumbe mzito tu na ni muhimu kwetu wanaume ili tuweze kukabiliana na changomoto zinazotukabili hasa katika kuelewa mahitaji ya watu wetu wa karibu, hapa namainisha wake au wapenzi wetu.
ReplyDeleteLakini pia tukumbuke kuwa baadhi yetu wanaume tumejitahidi hadi kupita kiasi kuyatekeleza kwa dhati haya mambo mazuri wayapendayo dada zetu, lakini pia wamo akina mama au akina dada waliotumia hizi nafasi vibaya.
Ujumbe mzuri sana...ahsante sana mtani
ReplyDeletenakataa: kuna wengine kama akina mama wa kikurya wasipobondwa wanaona kama hawapendwi :-(
ReplyDeleteukimchekea anasema ushaanza kuwa na tabia za kishoga...lol
Ukimpelekea maua wakati wa valentine anakutoa berenge kwa kisu akidai ungempelekea kanga :-)
Mie nawaza kilichom-trigger Subi kubandika haya. Kisha kilichokufanya wewe kupenda haya.
ReplyDeleteKunani?
NAUNGANA ZAIDI NA KAKA CHACHA HAPO JUU.
I hope mama Pau hatasoma maoni yangu. Lol
Kaka Malkiory asnate sana kwa kutopendelea upande.
ReplyDeleteAhsante mtani:-)
Chacha, sina hakika na hiyo habari na pia siwezi kusema hapana.
Ni ujumbe mzuri mzee wa changamoto unaeleza mambo ya kweli. Mie natumaini na ningependa mama Pau angesoma hapa---LOL