Thursday, February 11, 2010

Karibu katika Ulimwengu wa kublog:- Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!



Karibu katika ulimwengu wa kublog kaka Chacha unaweza kumtembelea kwa kubonyeza hapa. http://mataranyirato.blogspot.com/

9 comments:

  1. Karibu sana kaka katika ulimwengu wa kublog. Kublog ni kama dhehebu. Wingi wa waumini maana yake ni dini safi yenye kukubalika.
    Hakuna kitu kinachonipa raha kama uhuru wa kueleza fikra zako kwa wengine.
    Karibu katika huu ulimwengu huru.

    ReplyDelete
  2. ruuuuuuuuuu, ruuuuuuurrrr, lya lya lyaaaaa!!!

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta: na hicho kigelekele jamaani!

    aksante kwa kusherehesha furaha yetu

    ReplyDelete
  4. Duh, Yasinta umenipa kali ya mwaka yaani hicho kigelegele, hapo ni kwa kuandika, chenyewe je?

    Sipati picha mimi na wewe tukikutana shughulini.

    ReplyDelete
  5. Da Mija mie na wewe tukiwa pamoja mambo yataenda bomba mno.Lya lya lya ruuuuuuu, ruuuuuuu au wewe uunapigaje vigelele vyako?

    ReplyDelete
  6. Bw Chacha karibu sana tujumuike pamoja, fagilia wawawawawawawaw!!!!

    ReplyDelete