Da Yasinta: aksante kwa chai na ujumbe uloambatana na kikombe hicho cha chai hii ya Mkono mmoja!
Na ukienda mbali ya 'chai' naanza kuzinguka na ujumbe wa da EDNA na papa Fadhy zaidi :-(
Hivi imajini weye hapo una 'chai' yako! Yaweza kuwa UMPENDAYE a.k.a SWITIII ndo chai yako ...lol Je waweza weka masharti kuwa hiyo chai yako ili iwe TAMU lazima iwe na sukari? :-(
kumbuka ili udhihirishe upendo wa kitu ni lazima ukipende bila masharti. ukishaweka masharti huo si upendo asilani :-(
Chacha Chacha chacha...Jamani si unatuambia una mjukuu? Au ndo kisa cha kushindwa upadri..
@Yasinta kama unaweza kujilinganisha na Mjengwa basi wewe ni kiboko yetu, nashawishika kabisa wewe ni mnywaji chai usiye na masihara, Maana Mjengwa hadi kwenye boti yeye na kikombe cha chai...
@Da Mija: Walisema wao si miye! Na hako ni kajukuu ka Mbiti na si Ng'wanambiti...lol
'Nalinakuwila unitile mpango!'
Hiyo si sababu pekee kwa kuwa hiyo ndo sifa mojawapo ya mtu kuwa na ukionekana anti-social na hawajawahi kukusikia kuongelea ama kuwa na demu wanakuondoa mapema kwani yawezekana SI RIZIKI...lol
Da mija ni kweli mimi na chai ni damu danu na kwa siku nakunywa birika tatu, inawezekana ni kiboko yyenu na inawezekana naweza kumshinda Mjengwa ila sijui yeye anakunywa kiasi gani?
Hunishindi mimi Da Yasinta,lakini mimi iwe na sukari ndio inanoga.
ReplyDeleteDa Edna utamu wa chai ni sukari au chai? Kwa mimi ni Chai yenyewe
ReplyDeletekama haina sukari haiwezi kuwa tamu. mi napenda sana chai. na jioni kama hii nina kikombe cha chai hapa.
ReplyDeleteCHINGA-MBU! Hilo jina asili yake wapi!
ReplyDeleteYasinta unapenda chai kumshinda MJENGWA?yeye nikiboko yenu wote wapenda chai.LOL
ReplyDeleteDa Yasinta: aksante kwa chai na ujumbe uloambatana na kikombe hicho cha chai hii ya Mkono mmoja!
ReplyDeleteNa ukienda mbali ya 'chai' naanza kuzinguka na ujumbe wa da EDNA na papa Fadhy zaidi :-(
Hivi imajini weye hapo una 'chai' yako! Yaweza kuwa UMPENDAYE a.k.a SWITIII ndo chai yako ...lol Je waweza weka masharti kuwa hiyo chai yako ili iwe TAMU lazima iwe na sukari? :-(
kumbuka ili udhihirishe upendo wa kitu ni lazima ukipende bila masharti. ukishaweka masharti huo si upendo asilani :-(
Samahani kwa kuwatibulia mood ya kunywa chai :-(
@Chacha, wakati mwingine masharti hunogesha mapendo zaidi...
ReplyDeleteDa Mija: hata akiwa kikojozi ilihali alomroga ashakufa na haiwezekani ku-reverse hiyo hali?....lol
ReplyDelete:-(
yasinta anamtamani mtu hapa, eti karibu CHACHAi, malizia Ng'wanambiti
ReplyDeleteChai ni anasa waiwezayo wajuao wana chakula.:-(
ReplyDelete@Kamala: duh!
ReplyDeleteNaogopa ugoni na pia kuwa wangu wa 'LOHO' yuko Uholanzi (kama kuwadi wangu keshatekeleza ombi langu niende nkapeleke posa)....lol
sijui nibadili jina...lol
hata hivo kiswahili naona kama kinapanuka kwani kama kinakuwa na mnyambuliko wa namna hiyo naona ni vema niache fani yangu nisome kiswahili....lol
Dada PASSION4FASHION.TZ nanukuu
ReplyDelete"Yasinta unapenda chai kumshinda MJENGWA?yeye nikiboko yenu wote wapenda chai.LOL"mwisho wa kunukuu:-Je Kaka MJUNGWa anakunywa vikombe vingapi au birika ngapi kwa siku? ukinijibu hapa naweza kuamini ni kweli.
Chacha Chacha chacha...Jamani si unatuambia una mjukuu? Au ndo kisa cha kushindwa upadri..
ReplyDelete@Yasinta kama unaweza kujilinganisha na Mjengwa basi wewe ni kiboko yetu, nashawishika kabisa wewe ni mnywaji chai usiye na masihara, Maana Mjengwa hadi kwenye boti yeye na kikombe cha chai...
@Da Mija: Walisema wao si miye! Na hako ni kajukuu ka Mbiti na si Ng'wanambiti...lol
ReplyDelete'Nalinakuwila unitile mpango!'
Hiyo si sababu pekee kwa kuwa hiyo ndo sifa mojawapo ya mtu kuwa na ukionekana anti-social na hawajawahi kukusikia kuongelea ama kuwa na demu wanakuondoa mapema kwani yawezekana SI RIZIKI...lol
Da mija ni kweli mimi na chai ni damu danu na kwa siku nakunywa birika tatu, inawezekana ni kiboko yyenu na inawezekana naweza kumshinda Mjengwa ila sijui yeye anakunywa kiasi gani?
ReplyDeletechai bwana!!! na hii baridi!!!
ReplyDelete