Leo ni Valentineday/siku ya kupendana/alla hjärtans dag. Sio kama siku zote watu hawapwndani HAPANA baki ni kuhamasisha wtu wazidi kupendana . Kwangu mimi ina maana kubwa kwani nimekuwa mwanaharakati bora wa Upendo kwa jamii haijalishi nimefika kiwango gani . Nashukuru hata kama sijafika robo. Nakuomba nawe shiriki kutangaza Upendo Duniani. HAPPY VALENTINES DAY.!!!! NA PIA DOMINIKA NJEMA
Happy Valentine's Day nawe Yasinta. Upendo daima!
ReplyDeleteHeri ya siku ya wapendanao kwa wanablog wooooooooooooote!
ReplyDeleteaksenti
ReplyDeleteHeri ya siku ya wapendanao...
ReplyDeleteshukran na kwako pia
ReplyDeleteheri kwa siku ya wapandanao...oops! ulimi uliteleza nilitaka kusema wapendanao.
ReplyDeletekwako pia,upendo uzidi maradufu
ReplyDeleteupendo ulimwenguni kote! love the picture! happy v day dada
ReplyDeleteKwako pia Yasinta na wanablog wako wote,upendo zaidi.
ReplyDeletewewe pia na familia yako
ReplyDeleteZe sem tu yuu!
ReplyDeleteNa wewe pia.
ReplyDelete@mwaipopo!!!! you might be right ila sijui kama wanapandanaje!
ReplyDeleteyasinta unatupenda au unatutakia sisi wapendanao siku yetu kivyetu
Na wewe pia. Picha hiyo muruwa kabisa!
ReplyDelete