kwangu sherehe ya kuzaliwa kwa mtu yeyote(mie 13/Dec.) ni bora zaidi kuliko hii ya uhuru. ya kuzaliwa ni muhimu kwa kuwa tunasherehekea uwepo wa kitu ambacho hakikuwepo na pengine kimetimiza miaka mingapi. ya uhuru tunashangilia kubadilishana watawala kutoka wa rangi nyeupe na kuja wa rangi nyeusi. mbaya zaidi kinachotarajiwa ni kinyume. heri ukatili na unyanyasaji wa mzungu kwa kuwa sie hatukuwa ndugu zake. huu ubora duni wa maisha unaopigiwa baragumu na viongozi wa ngozi kama yetu (roho na akili za kizungu)siupigiii upatu asilani.
Dada Yasinta umekosea kidogo kwavile ni maadhimisho ya miaka 48 ya Uhuru wa Tanzania Bara...la sivyo Wapendwa wenzetu kutoka Tz Visiwani tutakua hatuwatendei haki.
kwangu sherehe ya kuzaliwa kwa mtu yeyote(mie 13/Dec.) ni bora zaidi kuliko hii ya uhuru. ya kuzaliwa ni muhimu kwa kuwa tunasherehekea uwepo wa kitu ambacho hakikuwepo na pengine kimetimiza miaka mingapi. ya uhuru tunashangilia kubadilishana watawala kutoka wa rangi nyeupe na kuja wa rangi nyeusi. mbaya zaidi kinachotarajiwa ni kinyume. heri ukatili na unyanyasaji wa mzungu kwa kuwa sie hatukuwa ndugu zake. huu ubora duni wa maisha unaopigiwa baragumu na viongozi wa ngozi kama yetu (roho na akili za kizungu)siupigiii upatu asilani.
ReplyDeleteDada Yasinta umekosea kidogo kwavile ni maadhimisho ya miaka 48 ya Uhuru wa Tanzania Bara...la sivyo Wapendwa wenzetu kutoka Tz Visiwani tutakua hatuwatendei haki.
ReplyDeleteAsanteni Kaka John na kaka majaliwa. Naipenda sana ncho yangu na nitaipenda mpaka mwisho wangu.
ReplyDelete