Thursday, December 3, 2009

Sheria/Utaratibu/Maoni tofauti

Kuna mambo mengine huku ughaibuni ukiyafananisha na huko nyumbani unabaki na maswali chungu mzima, kuna wakati niliwahi kuzungumzia juu ya taratibu za mazishi hapa Sweden.

Lakini hebu leo tuangalie upande wa mambo ya starehe hususan pombe na sigara.
Tuanze na ununuzi wa pombe, ununuzi wa pombe hapa ni tofauti sana na nyumbani TZ. Hapa huruhusiwi kununua pombe kama hujatimiza miaka 20 na ni lazima uonyeshe kitambulisho.

Haya yalinipata mie siku moja nilikuwa kwenye duka la pombe nilikuwa nataka ninunue pombe. Kilichotokea ni kwamba nilikataliwa na hata nilipowaonyesha kitambulisho changu walibisha . Nilitoka bila pombe, toka siku hiyo sipendi kabisa kwenda kwenye duka lile la pombe. Yaani hawakuniamini kabisa miaka yangu.
Sio kama TZ unamtuma mtoto wa miaka 5 kununua pombe bila wasiwasi kabisa

Sheria hii vivyo hivyo kwenye kununua sigara ni lazima uwe na miaka 20 au zaidi. Lakini cha ajabu utakuta watoto wa shule za msingi wanavuta sigara. Na utajiuliza wamepata wapi ? Ndiyo! Magendo yapo Ulimwenguni kote wanawatuma kaka zao,dada zao, au hata wazazi wao wawasaidie kuwatafutia vitu kama hivyo

Kwa hiyo hapa ukiwa na umbo dogo ni vigumu kupata huduma ya pombe au sigara hata kama una miaka 40. Sweden ni nchi yenye sheria kali kidogo sio nawatisha hapana. Hapa kila mtu ana namba ya utambulisho (person number) na ni lazima uijue kwani karibu kila sehemu unatakiwa kuitaja hiyo namba.

Hata hivyo pamoja na masharti hayo pamoja na sheria zao kali msije mkadhani kuwa kuna nidhamu ya hali ya juu kwa watoto, hiyo ni kujidanganya, kwani kuna ukosefu wa nidhamu miongoni mwa watoto na vitu kama pombe, sigara na madawa ya kulevywa yanatumiwa sana na watoto na hivyo nidhamu kushuka kwa kiasi fulani.

Wapo watoto wenye nidhamu, lakini kuna wale ambao kutokana na aidha malezi au wazazi kutalikiana na hivyo kujikuta wakiwa hawapati malezi yanayostahili, wengi wametumbukia kwenye matumizi ya pombe na sigara na hata madawa ya kulevya wakitafuta faraja.

Sina uhakika na huko nyumbani juu ya sheria hii kama inatekelezwa na kama inatekelezwa , je ni kwa kiasi gani? Lipo tatizo moja ambalo niliona hapo nyumbani Tanzania, kuna mlolongo wa visheria vidogovidogo ambavyo vinatungwa kwa staili ya kuzima moto hasa pale linapotokea tatizo, lakini baada ya muda mfupi tu, husahaulika na watu wanaendelea kuvunja hiyo sheria kama kawaida. ”Sidhani nitakosea kusema kuwa inawezekana sheria ipo, lakini je ni kweli na inafanya kazi?”

26 comments:

  1. wahaya wanasema: "akwima marwa, akulokla tamiilo"

    wakiwa na maana kuwa akunyimaye pombe,basi kuakuokua na adha za ulevi na kwa hiyo huyo kwa kamwili kadogo alikusaidia usilewe na kutuukana hovyo au kulala na mninng'inio (hangover).

    naona unalalamikia mauzo ya Pombe na sigala zaidi vitu haramu hivi (intoxicants) na hlalamikii juisi au mboga mboga nk

    ReplyDelete
  2. Ungejua, ungemwagia kavumbi ka unga au maziwa ya unga kwenye nywele na kudai wewe ni kijeba.
    Lakini mimi nafikiri walikunyima tu, walifikiri umetumwa na watoto baada ya kupewa hongo ili uwasaidie

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta Mi Naomba niende tofauti kidogo na hii mada Mimi ni kijana wa kitanzania nimekuwa nikikusudia kuja huko uswidi kwa madhumuni ya kujitafutia maisha. naomba msaada wa ushauri kwa kuwa wewe upo huko muda merfu je maisha ya muhangaikaji ni sawa na mhangaikaji wa hapa nyumbani kwa maana upatikanaji wa ajira japo zisizo rasmi na kwa wadau wote ambao wana uzowefu na nchi hiyo je naweza kuja huko na kujilipua na je maisha wa waliojilipua ni kweli hayalingani na maisha ya asiyejilipua hapa nyumbani kama sijaeleweka kujilipua nina maana ya kuingia katika nchi hiyo aidha kwa njia ya halali au kwa njia ya hramu halafu unaukana uraia wako halisi

    ReplyDelete
  4. Hej tjejen!

    Vad roligt unaandikia maswala ya Systembolaget... hata mie nipatwa na hayo tills jag undrar om min BH sitter för tät och min 'mamma måge' knappast syns! LOL... Även om jag är med kompisar som är yngre än mig så klara de utan leg. men när det är jag... DUH!

    Jag har lärt mig att beställa via nätet och bara åka dit för hämtning...kanske nåt som kan funka för dig?? dags för lite glögg som jag tog hit med mig!!! vi är snart där :)

    STORA KRAM!

    ReplyDelete
  5. Anony, mh! Mie sina ushauri, lakini ukipigika, unapigika kisawasawa. Na haka ka hofu ka recession, sijui huko maisha yakoje. Pia asili yako haitatokomea kamwe. Hata ukijikana.
    Yasinta atakusaidia kwa ushauri kwa nafasi yake. Maana wengine Uswidi hatujawahi kufika! Ila kwa majirani zao, mh!!

    ReplyDelete
  6. Ni ngumu Yasinta. Kuna mambo mengi yanayoturudisha nyuma Watanzania. Kwa ufupi system nzima imeharibika ndo maana unaona hivyo visheria vidogo vidogo vya staili ya zima moto. Na ukijaribu kuhoji tu unazimwa kwa staili ya ushirikina.

    ReplyDelete
  7. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 5, 2009 at 2:04 PM

    wakati mwingine ni fundisho kwa ma-babyface....lol

    ReplyDelete
  8. nachukua nafasi hii kwa kuwashukuruni wote kwa kujali kazi zangu. Asanteni sana

    ReplyDelete
  9. Sup every one, fab chat board I find It quite useful and it's helped me loads
    I hope to be able to contribute & assist other people like this board has helped me

    _________________
    [url=http://iphoneusers.com]unlock iphone 4.2.1[/url]

    ReplyDelete
  10. [b][url=http://www.cheaplouisvuittonbagsshop.co.uk/]louis vuitton bags[/url][/b] The electrical tools is usually ruined following such an event as well as monetary losses are astounding. Hence, comprehensive monitoring can help you save lots of time and cash alongside how. Measurement and detection devices such as partial discharge motors and partial discharge generators can help you avoid unwelcome circumstances..

    [b][url=http://www.cheaplouisvuittonbagsshop.co.uk/]www.cheaplouisvuittonbagsshop.co.uk[/url][/b] Due to the fact gentlemen are certainly not good at deciding on handbags for his or her sheer insufficient know-how in this particular area, conclusion up picking some archaic models. So usually do not make that mistake. You may buy your reproduction purses on the internet and in most internet sites, you can expect to find a way to get the latest launches being an exclusive group.

    [b][url=http://www.classicuggoutletshop.co.uk/]www.classicuggoutletshop.co.uk[/url][/b] One other seem that I think is suddenly turning out to be additional available is a really deconstructed seem, typically embraced by designers this kind of as McQueen and Dutch designers Victor Rolf, Dries Van Noten and Ann Demeulemeester. (I am making use of deconstructed within a much more basic æ…³vant-garde,?pieced-together, the-process-is-evident perception). Dutch designers have always been very hip, and they're out of the blue growing to be a lot more common and even more obtainable; fashion magazines are last but not least displaying their seems inside a way that everyone could use them inside a semi-practical trend.

    [b][url=http://www.classicuggoutletshop.co.uk/]uggs outlet store[/url][/b] You have to select the proper academy for you. Any time you are seeking while in the web you can expect to get all particulars with the academy from its sites. Ensure you are picking a reputed academy. The next matter was a story from a pal of my parents, a person who's a physician in Southern California. He after had a individual, who was a design (who generally did modeling for clothes that ordinary folks would invest in at department stores) are available with square shaped rashes all over her body. It turned out that these were being from allergic reactions she was needing to the tape they employed to make certain the garments she was modeling appeared ideal for the photographs.

    [b][url=http://www.classicbootmall.com/]www.classicbootmall.com[/url][/b] Additionally, you do not need on-line firms disseminating your info to "other fascinated parties," as the very good print often goes. Your money information is personal and private, and nobody else should really generate income selling it to someone that is just heading to hassle you with unwanted solicitations or provide it once more. Trustworthy on the web paycheck hard cash advance firms will probably be bound by federal guidelines for privacy and confidentiality, which often can present you with final reassurance..

    ReplyDelete
  11. Relationship duration, a construction troupe turned up to start erection a erection on the deserted lot.

    The [url=http://daclac.000space.com/jsd.html]209476[/url] [url=http://blogs.hoy.es/tudess/2012/11/28/south-african-simultaneously-married-to-four-women/]7sc3l4vc[/url] 569670 [url=http://mios.my-board.org/sdi.html]459796[/url] [url=http://poa7.000space.com/usd.html]504729[/url] children lone's nearest's 5-year-old daughter as expected took an opportunity gesture in all the

    gamble the moment on next door and done in much of each heyday observing the workers.

    ReplyDelete
  12. Entertainment hour, a construction comradeship turned up to start erection a area on the tire wrong lot.

    The [url=http://masuher.exteen.com/20121129/in-poland-the-ukrainian-woman-arrested-tried-to-bribe-the-bo]7pe4o7rh[/url] [url=http://mios.my-board.org/sdu.html]824430[/url] [url=http://daclac.000space.com/jyd.html]701373[/url] 2su6k2zm [url=http://kamachu.000space.com/ned.html]310833[/url] children announce's 5-year-old daughter as a condition of fact took an involvement business in all the

    spur wealthy on next door and dog-tired much of each lifetime observing the workers.

    ReplyDelete
  13. www.shoesonlinesales.co.uk Escada's speedy expansion ultimately caught up along with the corporation, leaving it intensely in debt, at the same time as quite a few its operations sank into your red. Because of the stop of 1992 the firm's losses, which include magnificent goods, neared DEM a hundred and twenty million (close to $60 million). Escada's losses continuing into 1993, topping DEM 37 million ($17 million).

    ugg boots uk Say No!: When requested for time - say no! We don't always provide the electric power to convey no to interruptions. Stuff occurs. That may be what helps make the rest on the working day so useful. For those who are like most of us, you might be forgiven in case you consider that your front room is among the most "lived in" room with your dwelling. From my experience, it is really most of the time the cooking area. That is why it is sensible to spend time and expense generating the cooking area the space of your respective goals, since it could be the spot both you and your friends and family may be spending the majority of your time and effort..

    louis vuitton outlet The aim to your restrained alternative often is the fact that this outlets enter into contracts with each other furthermore the suppliers. The following relatively top verdict will probably develop into to find out copy Chanel purses in addition to purses and purses that exist inside locations identical to South Korea. The thought thoroughly will probably be pretty tricky to make in existence the distinction among the Chanel handbag plus the copy Chanel handbag.
    A fantastic shot of the White Stripes feedback shriek for the duration of a shopper call can jeopardize and account. But that very same driving, take-no-prisoners sound is really a fantastic complement if you deep into white-hot deadline crunch using a three-coffee-pot excitement that makes your typing fingers harm. The Strokes operate nicely on deadline, way too, particularly the tune, Nite..

    www.salelouisvuittonbagsus.com Never allow it thrust you about and come up with a female pet out of you - you are the boss, not it. Socializing is vital for all potentially tough pets, similar to the American Bulldog. Permit it to fulfill other pets and folks. Links will be the bread and butter of Website positioning and social media signals carry a great deal of excess weight together with the engines like google. (Much to ensure Google produced its possess reveal button, the +1 button). you assemble it, they may come isn a mantra that actually works very very well for website optimization.
    Many mulberry purses include the designed in China tag as a lot of the bags are being outsourced to China and Turkey. It does not mean that they can be the faux types. But prior to buying these purses, you need to get cautious with regards to the within label on the bag.

    ReplyDelete
  14. top [url=http://www.c-online-casino.co.uk/]c-online-casino.co.uk[/url] check the latest [url=http://www.realcazinoz.com/]casino online[/url] unshackled no deposit reward at the foremost [url=http://www.baywatchcasino.com/]casino gratuity
    [/url].

    ReplyDelete
  15. [url=http://www.freewebs.com/lipit0r]buy lipitor china
    [/url]prices on generic lipitor
    lipitor price usa
    buy lipitor less
    price lipitor united states
    hse price lipitor

    ReplyDelete
  16. [url=http://www.freewebs.com/buy-endep-25-mg/]purchase endep 50 mg online uk
    [/url]amitriptyline 50 mg for pain
    order endep 50 mg online
    london buy endep 25 mg
    london purchase amitriptyline 10 mg
    order amitriptyline uk

    ReplyDelete
  17. [url=http://www.microgiving.com/profile/clarithromycin]biaxin online no prescription
    [/url]

    ReplyDelete
  18. [url=http://sustiva-efavirenz.webs.com/]order Efavirenz 500 mg
    [/url] order Generic Sustiva 600 mg online
    order Efavirenz 200 mg online
    Sustiva buy

    ReplyDelete
  19. Did you [url=http://www.onlinecasinos.gd]casino[/url] cognizant of that you can dickey facetious egyptian underground Effort Mansion without assemble up from your mobile? We seize a label transportable casino at match's disposal an look to iPhone, iPad, Android, Blackberry, Windows 7 and Smartphone users. Extricate your gaming with you and be a title-holder [url=http://www.appydomain.info]adult toys[/url] wherever you go.

    ReplyDelete
  20. [url=http://orderamoxicillin.webs.com/]amoxicillin 500 mg urinary tract infection
    [/url] amoxicillin 500 mg while breastfeeding
    buy amoxicillin no prescription overnight delivery
    amoxicillin 500mg to buy online

    ReplyDelete
  21. We [url=http://www.onlinecraps.gd]free casino bonus[/url] have a rotund library of absolutely free casino games for you to challenge right here in your browser. Whether you want to unaccustomed a provender recreation strategy or scarcely sample elsewhere a occasional new slots first playing on the side of real filthy lucre, we have you covered. These are the exact uniform games that you can treat cavalierly at veritable online casinos and you can join in them all representing free.

    ReplyDelete
  22. [url=http://www.microgiving.com/profile/ribavirin]purchase virazole online
    [/url] order copegus online
    ribavirin online
    virazole 200 mg

    ReplyDelete
  23. Every weekend i used to pay a visit this site, as i wish for enjoyment,
    as this this web page conations truly good funny stuff too.


    Also visit my site - twitter buy followers

    ReplyDelete
  24. http://biaxin-buy.webs.com/ clarithromycin online kaufen
    http://sustiva-efavirenz.webs.com/ Sustiva buy
    http://asacol-mesalamine.webs.com/ asacol 400 mg buy
    http://www.freewebs.com/pentasa-mesalamine/ asacol

    ReplyDelete
  25. Excellent article. I definitely love this site.
    Keep writing!

    my site; bathroom in northern virginia

    ReplyDelete
  26. Habari zenu. Ilikuwa ngumu sana kwangu wakati mpenzi wangu aliniacha kwa mwanamke mwingine. Niliharibiwa kihisia, nilivunjika moyo na sikujua la kufanya ili kumrudisha. Nilihangaika kwa miezi mingi na niliendelea kutafuta msaada kutoka kila mahali hadi nilipopata kujua kuhusu DR DAWN. Niliwasiliana naye na kumweleza shida zangu. Alikuwa tayari kunisaidia na kunisisitiza nifuate taratibu ili aweze kurejesha penzi kati yangu na mtu wangu na pia kuhakikisha tunarudiana wote wawili. Nilipata mahitaji yote na ilifanya kazi hiyo. Baada ya saa 48, nilipata ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu akiniuliza tarehe. Sasa tuko pamoja tena na shukrani zote kwa DR DAWN. Anaweza kukusaidia kumrudisha mpenzi wako,
    Anaweza kukusaidia na uchawi wa ujauzito,

    Anaweza kukusaidia kuponya aina yoyote ya ugonjwa.

    ikiwa uko tayari kuamini na kubaki na matumaini. Watumie barua pepe tu kupitia: dawnacuna314@gmail.com
    WhatsApp: +2349046229159

    ReplyDelete