Leo napenda kuwapongeza shangazi zangu kwa siku zao za kuzaliwa. Lakini hasa kwa siku hii ya leo napenda kumpongeza wajina wangu Yasinta kwa kutimiza miaka 6. HONGERA sana kwa siku yako wajina na uwe na wakati mzuri na Mungu akulinde ukue na uwe msichana mwema na pia uwe na afya njema.
baraka zake muumba,
ReplyDeleteuhai wako daima,
akulinde usiku mchana,
asubuhi,jioni
mwend raha vana vanyambili, vambwina kweli.....
vapelayi mwaaaaaaaaaaaa LoL....
nusura niulize ni yupi kati ya hao wawili. ushamba mzigo wa kuni (msemo wa kiluguru).
ReplyDelete'ongela' kupunguza siku za utegemezi kwa wazazi wako.
Hongera kwa siku hi ya leo, Kibibi.
ReplyDeleteHongereni jamani.
ReplyDeleteaaaaaaaaw!!! Awe kama Yasinta mkubwa...you are a great role model dada! Happy Birthday to Yasinta junior hehe
ReplyDeletewaaaaaaana! wanameremetaaaaa!
ReplyDeleteHongereni shostitoz....lol
Nimechelewa. Lakini hata hivyo zangu zingali pongezi. Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Maisha yawe yenye amani, furaha na mafanikio.
ReplyDeleteDogo happy birthday, nakusubiria Model wangu
ReplyDeleteFuata nyayo za Yasinta Mkubwa, hongera sana
ReplyDeleteAhsante kwa niaba ya wajina wangu. Nami nasema tena Hongera sana wajina wangu. Pia Noela na Tuombe nawatakieni maisha mema na muwe watoto wazuri na watiifu. Najua nia kazi kubwa kama shangazi. Na sijui itakuwaje...lol.
ReplyDeleteHabari zenu. Ilikuwa ngumu sana kwangu wakati mpenzi wangu aliniacha kwa mwanamke mwingine. Niliharibiwa kihisia, nilivunjika moyo na sikujua la kufanya ili kumrudisha. Nilihangaika kwa miezi mingi na niliendelea kutafuta msaada kutoka kila mahali hadi nilipopata kujua kuhusu DR DAWN. Niliwasiliana naye na kumweleza shida zangu. Alikuwa tayari kunisaidia na kunisisitiza nifuate taratibu ili aweze kurejesha penzi kati yangu na mtu wangu na pia kuhakikisha tunarudiana wote wawili. Nilipata mahitaji yote na ilifanya kazi hiyo. Baada ya saa 48, nilipata ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu akiniuliza tarehe. Sasa tuko pamoja tena na shukrani zote kwa DR DAWN. Anaweza kukusaidia kumrudisha mpenzi wako,
ReplyDeleteAnaweza kukusaidia na uchawi wa ujauzito,
Anaweza kukusaidia kuponya aina yoyote ya ugonjwa.
ikiwa uko tayari kuamini na kubaki na matumaini. Watumie barua pepe tu kupitia: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159