Thursday, December 24, 2009

SALAMU ZA NOELI KUTOKA SWEDEN KWA WOTE ULIMWENGUNI!!!!

Kwa kawaida au niseme Noeli kwa sehemu nyingi ni kesho au kwa mimi lakini hapa Sweden Noeli ni leo 24/12. Kwa hiyo sisi au mimi na familia yangu tunapenda kuwatakieni wote
CHRISTMAS NJEMA/GOD JUL.

17 comments:

  1. Erik umenikuna sana, nadhani bado unazo rasta ingawaje nilidokezwa umenyoa...Lol....

    FAMILIA BORA HULELEWA NA WAZAZI BORA WANAOKAMILISHA UBORA WA FAMILIA.

    FAMILIA BORA HUTAMBULIKA KWA AMANI INAYOTAWALA SIYO KWA VITU VINAVYOTAWALA.

    FAMILIA BORA INAJENGWA KWA HESHIMA NA URAFIKI BORA. KWA PAMOJA MNAWEZA KUWA NA NENO MOJA TU MANI KWENU NA IWE HIVYO DAIMA KWENU.

    Lol... mzee wa Matetereka umekuwa poaaaaaa sana na FAMILIA YAKO, TAZAMA MKEO MWINGI YA HUBA KWA FAMILIA.
    BABA AIPENDAYE FAMILIA HUJENGA FAMILIA YENYE UTASHI DAIMA.

    MUNGU AWE NANYI DAIMA

    ReplyDelete
  2. ASante sana Dada, nawatakia X-mas- njema kwenu pia na heri nyingi sana za mwaka mpya.

    ReplyDelete
  3. Wishing you and your family merry christmas.

    Greetings to Erik & Camilla

    ReplyDelete
  4. Nami nitumie fursa hii kuwatakieni heri ya sikukuu ya Krismasi.
    Mola awe nanyi daima.

    ReplyDelete
  5. aaaw!! Na wewe pia dada! God bless u n ur family!

    ReplyDelete
  6. Nawewe pia pamoja na familia yako kwa ujumla,pia nawaombea kwa mwaka ujao uwe wenye amani,upendo na mafanikio kwenu kwa kila mnachukusudia kukifanya kiwe na mafanikio.xxx

    ReplyDelete
  7. Heri ya Noeli wewe pamoja na familia yako,hapa kwetu ufini ni public holiday na maduka yalifungwa saa sita za mchana, yatafunguliwa tena hadi J3.

    ReplyDelete
  8. Heri ya Noeli kwenu pia. Familia nzuri sana na yenye furaha.

    Mzidi kubarikiwa.

    ReplyDelete
  9. TUnashukuru kwa salam za krismasi hakika leo ni siku yetu

    ReplyDelete
  10. Kuhusu mimi yenu na wageni. Ubunifu na ubunifu kutoka picha za Jose Ramon Merry Christmas

    ReplyDelete
  11. Da Yasinta na familia
    Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nawatakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
    Baraka kwenu

    ReplyDelete
  12. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 26, 2009 at 10:08 AM

    Japo nimechelewa lakini CHEERS!

    ReplyDelete
  13. heri na baraka tele kwa krismas ingawa nimechelewa
    ni mimi tuliyekuwa wote matetereka enzi hizo

    ReplyDelete
  14. Shukran, christmas njema kwako pia, pia twakutakia heri ya mwaka mpay

    ReplyDelete
  15. Nachukua nafasi hii kuwashukuruni wote kwa maoni yenu mazuri nami na familia yangu tunawatakieni wote X-Mass njema na pia kila mfanyacho kiwe chema. Nina swali kwa asiye na jina uliyesema hivi:-

    "heri na baraka tele kwa krismas ingawa nimechelewa
    ni mimi tuliyekuwa wote matetereka enzi hizo
    December 26, 2009 2:06 PM"

    Je kwa wewe ni nani sisi tuna taka kujua maana wote mimi na mue wangu tumeishi Matetereka. Tafdhali tuambie wewe ni nani?
    Tutafurahi kujua ni nani mwenzetu

    ReplyDelete