Wednesday, December 2, 2009

NCHI YANGU TANZANIA



Nimeusikiliza wimbo huu sijui mara ngapi na mwisho nimeona afadhali tu niuweke hapa ili nikifungua tu blog niwe naisukia!!!! Karibuni nanyi muusikilize.

4 comments:

  1. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambitiDecember 2, 2009 at 6:55 AM

    Pole dada! Hii inchi imeingiliwa na mafisadi kweli tutapona?


    just thinking aloud

    ReplyDelete
  2. Leo tena sauti imedisapia kwenye hili dude la ofisini. Nitasikiliza home :-(

    ReplyDelete
  3. Wimbo wa kusikitiza yani kweli tanzania ni nchi nzuri sana ila waendeshaji wenyewe, Mungu ibariki Tanzania iweke katika amani daima na milelel.

    ReplyDelete
  4. Chacha! asante kwa pole. Hata hivyo sitaacha kuipenda nchi yangu Tanzania.

    Chib! pole sana natumaini umeweza kuusikiliza ni wimbo mzuuuuriii.

    Mzee wa taratibu! ni kweli Tanzania ni nchi nzuri na Mungu aibariki na pia watu wake.

    ReplyDelete