@Mkuu CHIB: Umenifanya nijisikie vibaya labda itabidi niende kanisani kutubu na kunyweshwa mvinyo lakini mara hii mvinyo utakuwa ni kielelezo cha damu ya Bwana . Poleni Wakatoliki kwa kuwa nasikia mvinyo wenu anaunywa Padre:-(
Pamoja na madoido ya sentensi LAKINI nimepata ujumbe MKUU.:-(
Hongera MKUU na ungekuwa karibu kwa kuwa weye mnywaji kama mimi, tungeinywea siku!
ReplyDeleteHongera tena kupitia hiki kibaraza. Ila ushauri wa kusheherekea kwa kinywaji, kazi hapo...
ReplyDelete@Mkuu CHIB: Umenifanya nijisikie vibaya labda itabidi niende kanisani kutubu na kunyweshwa mvinyo lakini mara hii mvinyo utakuwa ni kielelezo cha damu ya Bwana . Poleni Wakatoliki kwa kuwa nasikia mvinyo wenu anaunywa Padre:-(
ReplyDeletePamoja na madoido ya sentensi LAKINI nimepata ujumbe MKUU.:-(
Hongera Mwaipopo.
ReplyDeleteJohn, hongera kwa kushereheka! Endelea kuwepo mkuu, uwe na afya njema na mfanikio mema tele!
ReplyDeleteHongera kaka Mwaipopo kwa kuendeleas kukua......
ReplyDeleteKaka naona unaanza kuzeeka sasa, je umeandaa mkongojo?
ReplyDeleteNakutakia maisha mema na afya tele
HONGERA KAKA, NAONA MIAKA INAZIDI KUKATIKA, NA UMRI UNAZIDI KUSONGA MBELE, NAKUTAKIA MAISHA MAREFU........HONGERA KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA
ReplyDelete@ Mwaipopo, hongela saaana
ReplyDelete@ Mt simon, muungamishaji nipo hivo usitie shaka kwa kuwa paroko mstaafu bado nipo nipo sana!...lol
katika kiungamio tutapata mvinyo pia ambao wakati wa misa huwa hampati ama mwaonjeshwa....lol
asanteni ndugu zangu. nilifika dar es salama kutoka mbeya. siku hizi ni masaa 13 mpaka 14.
ReplyDelete@ mtakatifu simeone niliungana nawae katika komunio ya ze ugimbi.
@ dada koero mkongojo bado ila ni wakati sasa nianze kuuandaa ha! ha! ha!
@ wengine woote big up!
kaburi la mwili, na nyumba ya wewe halisi
ReplyDeletemwaipopo ntakuhitaji katika kijumba cha maungamo....lol
ReplyDeleteHongera sana kaka Mwaipopo lakini hujaniambia ni miaka mingapi unayo...lol
ReplyDelete@Yasinta, ngojea akiungama ntakwambia...lol
ReplyDelete