Mwanadada /mwanamama karudi toka kusukwa!!!
Kazi kweli kweli nilianza kusukwa hizo nywele saa sita mchana na ilipofikia saa kumi na moja jioni ndo kazi iliisha. Bahati mbaya msusi amekataa kuwa kwenye picha la sivyo mngeona jinsi nilivyopata mateso. Lakini ndo hivyo kuna msomo unasema:- Ukitaka kupendeza lazima uvumulie mateso:-) (Vill vara fin får du lida pin) Na kizuri zaidi picha hii ya leo kapiga binti yangu.
1. Rasta zinakutoa kweli dada.
ReplyDelete2. I am impressed with your daughter's photography
3. Kweli ukitaka urembo lazima uvumilie maumivu maana kina sie na hizi nywele zetu mmh!
Hapo sasa sawa...
ReplyDeletemependedha binti wewe!
ReplyDeletehuyo msusi umemtoa wapi nami nipeleke bichwa langu kama madenge?....lol
ReplyDeletehaki ya nanihiino umependedha....lol!
Madengeeeeeeeeeeeeeeeeee. Chcha bwana!
ReplyDeleteYasinta si uwe rasta tu??
Mtaka cha uvunguni sharti ainame, umependeza
ReplyDeleteYasinta umesukwa na mkongoman au?
ReplyDeleteUmependeza sana, binti yako nadhani anataka kumridhi mjomba wake Michuzi, amefocus vizuri theme yenyewe, nywele zimeonekana vizuri.
Listi yangu ya kupendeza kwa mwanadada huyu:
ReplyDeleteMmechisho wa soksi na kificha eneo la juu ya kiuno mpaka shingoni. -TICK
Suruali iendanavyo na muonekano wa Mwanadada.
-TICK
Nywele na FULU PAKETI
-TICK
``Umependeza sana Mwanadada!´´
-baada ya sentensi hiyo najilamba kidogo.:-(
Umependeza dada tena sn tu
ReplyDeleteAmbiere Kitururu hapo umenena.....
ReplyDeleteRASTA=mia kwa mia
ReplyDeleteMAVAZI=mia kwa mia
MDOMO=mia kwa mia
TABASAMU= mia kwa mia
subiri kwanzanimalizie...kunamdudu ananinyevuanyevua, sijui....Lol....
Hapa xmas imependeza!
ReplyDeleteMlongo nami namtaka uyo fundi woko maana umedolongwa kwelikweli.
ReplyDeleteTULIJADILI HILI WATANZANIA
ReplyDeleteDADA YASINTA HABARI YA KAZI NAOMBA TUJADILI HILI ,HIVI HIII SERIKALI YETU INAJUA KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI BINAFSI HAIWAPI WAFANYAKAZI LIKIZO?WANALIPA NSSF YA MFANYAKAZI TUU YEYE MWAJIRI HAWEKI?UKIACHISHWA KAZI HUNA UNALOLIPWA?UKISHITAKI HUNA UNALOPATA KWANI WANAHONGA MNO?JE TUTAFIKA KWELI?
Hongera sana da Yasinta, na kweli umependeza, tena hii bado xmas mbona tutakukoma
ReplyDeleteAsanteni wote kwa maoni yenu mazuri. Kwa kuona nimependeza. Lakini kumbukeni ni kazi kwelikweli kumpata msusi hapa ila nina msusi wangu ndo maana amenidolonga hivyo. Nawapendeni wote na ni raha sana kuwa nanyi hata kama hatujawahi kuonana lakini kimawazo na kifkra tupo pamoja kama familia moja. Upendo Daima.
ReplyDeletepicha inaonyesha ni jinsi gani ulivyoipania krisimasi.
ReplyDeleteobat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec
ReplyDelete