Monday, November 9, 2009

VECKANS GÅTA= FUMBO LA WIKI HII

KISWIDI;-
Vad är det som har fyra ben på morgonen,
Två ben på dagen och tre ben på kvällen?

KISWAHILI:-
Ni nini ambacho kina miguu mnne asubuhi,
Miguu miwili mchana na miguu mitatu jioni?

Je? Jibu lake ni nini?

5 comments:

  1. mtu. as a child, he/she crawls (2 legs, 2 hands). as a grown up man/woman, he/she walks (2 legs). as an old man/woman, he walks with help of a walking stick (2 legs and a stick).

    ReplyDelete
  2. ungetangaza dau kama Da Koero ningejibu....lol

    ReplyDelete
  3. mwaipopo umekosa swali limeulizwa kiswahili na kwa kiswedish we umejibu kwa kiinglish heheheh!

    ReplyDelete
  4. hivi kumbe kufeli ni rahisi hivi kuliko kufaulu?

    ReplyDelete
  5. Mwaipopo umepata asante sana ndio umekosea kidogo kwa kujibu kwa lugha ambayo haijaulizwa lakini ndio kujifunza au sio?

    Chacha kwa kutaka zawadi nawe pole sana.

    Ni kweli kaka Bennet lakini najua amejifunza kitu.

    Ahsanteni sana wote kwa kutochoka kunitembelea na kutoa michango yenu.

    ReplyDelete