Sio lazima kuendesha Mercedes, Land Rove, X6 au Hummaer ili kujiona wa maana. Watu wenye furaha sio muhimu kuwa na kila kitu kizuri. Tufurahie kile (kitu )tulichonacho. !!!!!!!!JUMAMOSI NJEMA JAMANI!!!!!
Yasinta umesema kweli. Ipo hali ya watu kutokuw determined and being pushed by others. Anataka kuwa kama fulan bila kujua fulan kawezaje kuwa vile alivyo. Bila kuwa malengo yanayolingana na uwezo wako unaishia kupata msongo wa mawazo. "Karibu kwenye kibaraza changu kipya"
Wengi hatuna mioyo ya kuridhika na tulicho nacho, na huwa na tamaa ya kuwa kama wengine na hata ikibidi kuwazidi Kwanza inabidi kujikubali mwenyewe kisha utambue kwa wao ni tofauti na wewe
Kwa wengine maisha ni vitu na hapo ndo nongwa inapoanzia...lol
ReplyDeletetunashindwa kuwa sisi...bahati yako Yasinta wewe ni wewe...lol
Ridhiko la kweli linatoka wapi?
moyoni @chacha
ReplyDeleteVitu vinapaswa kutumiwa na watu kupendwa, hapo twaweza ridhika.
ReplyDeleteLakini dunia ya leo, vitu vyapendwa na watu wanatumiwa, ridhiko haliwezi kuwapo.
Yasinta umesema kweli. Ipo hali ya watu kutokuw determined and being pushed by others. Anataka kuwa kama fulan bila kujua fulan kawezaje kuwa vile alivyo. Bila kuwa malengo yanayolingana na uwezo wako unaishia kupata msongo wa mawazo. "Karibu kwenye kibaraza changu kipya"
ReplyDeleteakina dada wengi huwa ndio wanakuwa na fyongo!! Ukileta bike mh.... Furahia jumamosi yako
ReplyDeleteDADA MIE SISEMI.....
ReplyDeleteWengi hatuna mioyo ya kuridhika na tulicho nacho, na huwa na tamaa ya kuwa kama wengine na hata ikibidi kuwazidi
ReplyDeleteKwanza inabidi kujikubali mwenyewe kisha utambue kwa wao ni tofauti na wewe
Tukumbuke kitu kizuri ni jinsi tu mtu afikiriavyo na ndio maana katika vitu vyote duniani vijulikanavyo vipo , bado kuna wapendao vikojoleo.:-(
ReplyDeleteNdio ChaCha mimi ni mimi. Na nashukuru kwa hili. Ridhiko la kweli ni moyo wako kama alivyo sema Kamala asante Kamala.
ReplyDeleteFadhy lakini wewe ukisharidhika na ulicho nacho na jinsi ulivyo inatosha.
Mdoti com-kom kwanza karibu sana hapa kibarazani na asante kwa maoni yako.
Chib! kurika sio akina dada tu ni kwa wote.
Kaka Kaluse! kwa nini hutaki kusema?
Kaka Bennet! Nanukuu "Kwanza inabidi kujikubali mwenyewe kisha utambue kwa wao ni tofauti na wewe" mwisho wa kunukuu. Hapa umenena kakangu
Mtakatifu Simon! Nimekuelewa:-)