Dada Sarah Hilwat mtalii wa kibelgiji aliyekipenda kiswahili na maisha ya waswahili baada ya kutembelea Lamu, Kenya kwa masomo. Sasa anakichapa kwelikweli!
Viva afrika! nimeyapenda maneno yako nanukuu" nakipenda, nakiheshimu, nakihusudu, nakitumia na kukitangaza kadri niwezavyo"! nami nakuunga mkono unajua kuna watu wakijua tu kiingereza basi wanajifanya hawajui tena kiswahili na pia eti hawajui tena lugha ya mama na baba (kilugha) nawahurumia sana .
Nami nimtakie kila la kheri katika kuizungumza lugha adhimu ya Kiswahili.
ReplyDeletenakipenda, nakiheshimu, nakihusudu, nakitumia na kukitangaza kadiri niwezavyo!
ReplyDeleteFdhy ! ni kweli kabisa kheri dada Sarah.
ReplyDeleteViva afrika! nimeyapenda maneno yako nanukuu" nakipenda, nakiheshimu, nakihusudu, nakitumia na kukitangaza kadri niwezavyo"! nami nakuunga mkono unajua kuna watu wakijua tu kiingereza basi wanajifanya hawajui tena kiswahili na pia eti hawajui tena lugha ya mama na baba (kilugha) nawahurumia sana .
vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg
ReplyDelete