Thursday, November 12, 2009

TUSISAHAU LUGHA ZETU ZA ASILI/KINGONI:- MLYELELU = MLO/MILO

Mwenzenu leo nimetamni kweli kuongea kingoni hii ndio sababu nimeamua kuandika hapa:-

Mlyelelu
Mngoni ilya mara ppadatu kwa kuhwela, Kulawuka, muhi, kulalila. Vandu vangi vilya lukumbi lumonga tu kwa kuhwela. Lukumbi lungi lwa muhi ilya kwa kunonganonga vyakula videbevidebe ngita, liyawu, mbubudu, madonga, matevele, matoki, yembe matangamanga nk.

Kulawuka
Lukela pakuyimuka mungoni ilawuka. Pakulawuka ihopa wuji, lukumbi lungi ihopa wuji na kulyelela vimungulu au manyawu gatelekanu, au gayochanu, ama wuji na chimbwinya cha mayawu galovekanu au ga bundula. Ligono lingi ilawuka chimbala che vakuchipolosa huti. Kadeni vangoni valaukayi kilu, hinu ugali wa kulya kilu vikemela ngunguluku.

Ugali wa muhi

Ugali wa muhi vangi vilya lilanga pamuhana. Vandu vangi vilya he muhi, yitosha chevilawuka lukele. Vanu vangi vilya ugali lukela na kuhamba kumahengu mpaka chimihi nde pevilya ugali wa kulalila.

Ugali wa kulalila

Uwu nde ugali wa kuhambila kugana. Ndava ya mahengu ga muhi, lukumbi lwa kulya ugali wa kulalila nakumanyikana. Vangi vilya kwkona kulizwarara, vangi pakuyingila ngĂșku kugona, vangi kilu ya chitita.

Vyakulya vya Mngoni

Ugali: Chakulya cha kawaida cha mngoni ni ugali. Uvi ugali wa malombi, ugali wa mayawu gakondowoli au bundura. Uvi ugali wungi wa ulehi na ugali wa mapemba.
Wali: Kuna sambali zamahele za mpunga, ngita lingwindimba, kula na bwana, faya, bungare, sindano nk.
Ugali ama wali vilyelela likolo ngita, nyama, likolo la manyahi, ngowani, ngundi, chipele, mangatungu, chikandi, chimbondi, mawungu, madede, mbeleveta nk.
Ugali vibakulila mchiheneku au mulupalu na likolo vibakulila mu mkere. Vilya ugali kwa mawoko au kwa lukorombi. Vyakula vingi nde ngita mdojolela, mbatata, vingovi, maboga makumbu, nk.

Naona niishia hapa kwa leo mmmmhhh roho yangu imefurahi kuandika hapa ni kama nimeongea na mtu ana kwa ana. Raha jipe mwenyewe mwaya.

19 comments:

  1. Mlongo wangu, unihekili kweli kweli, unikumbushi kutale sana, bundura, gakondowoli na zaidi. Kwa kweli napenda sana kazi zako unazotuwekea apa kwa upande wangu napenda kupitia umu ndani kwani kuna mengi ya kujifunza na ya zaidi kule kunikumbusha nyumbani. Sijaongea lunga hii kwa muda mlefu zaidi uku sina mtu wa kuongea nae mpaka nikiwa nimekwenda nyumbani. Nakutakia kila la heri na ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu yangu nataka unifunze Mimi pia mngoni ila sifaham kiluga chetu 0717215915

      Delete
  2. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!November 13, 2009 at 5:57 AM

    japo mie si wa SAUZI a.k.a Ruvuma lakini hii nimiipenda...lol

    Keep it up!

    ReplyDelete
  3. Du yani hata celewi mwenzio maana hata nikijitaidi kusoma nashindwa kweli lugha nyingine ni ngumu kiasi du!!!

    ReplyDelete
  4. mie nilidhani kiingereza ndio kigumu kumbe wapi. lakini hapa napata maneno kama nusu ya robo hivi.

    kuna mchapo mitaani unakwenda hivi:

    mjukuu wa nyerere akikuwa ameishi sana ujerumani hivyo kujua kijerumani kama sisi tunavyojua kiswahili. alipokutana na babu yake akamuuliza kwa dhihaka "yaani babu wewe na kuwa kiongozi wa nchi yoooote hii hujui kijerumani?Unachekesha"

    nyerere akajibu "yaani mjukuu wangu na ujanja wako woote huo hujui kizanaki? Unachekesha!"

    ReplyDelete
  5. Kweli leo umekumbuka kunyumba,maana mawazo yote naona yako huko unatamani kama ungekuwa na mabawa ungeruka japo ukaone tu nyumbani na kurudi,nyumbani ni nyumbani bwana mtu asikudanganye.

    Ila hicho kingonish kimeniacha njia panda.

    ReplyDelete
  6. Dada umeniacha hoi,nimeipenda sana sana hii ya kunyumba,usengwili'

    ReplyDelete
  7. Aise nimecheka karibu nife, yaani mpaka majirani walishangaa kuna nini, na siwezi kuwaelezea wakaelewa maana ni wazungu....maana vilivyoandikwa humu ni funny mpaka basi...
    Aise usengwili sana dada. yaani mie hapa ni kama nimeongea na mtu, na ikabidi nimpigie simu mama kumuulizia misamiati mingine ina maana gani...na tukajikuta tunaongea saa nzima na kitu...hahaha. Ligono lingi vika kavili ya kingoni. kuhusu kulava lukela kumahengu, kulova somba, kuteleka likolo n.k nitafurahi sana. Yaani ndo nimeijua juzi blog yako, nishakuwa mshabiki tayari. .. usengwili.
    Pendi Mahundi,
    Czech republic.

    ReplyDelete
  8. Da Yasinta kumbe unabonga ung'eng'e namna hii?

    Sasa nauhakika unalugha mpaka ya kumtukania shemeji tusi la nguoni akikukasirisha bila yeye kujua.:-)

    ReplyDelete
  9. Tavawoni,

    Mwenga, penapa mbona mukuhiheha sana nene?

    Niwona chikandi na ngowani kampolo yasinta (nangonyani) niwona akosimwi mbona, manyayi muni akavili na hamu ya kulongela kwa chipyau chipyau...

    Niwanza kupata churyungusi cha kugana kujova ... Apu penapa tiwezalepa kuvika magendelu za vanavitu? (Land Mark!). Fikirilayi nangonyani akakosiwayi cha kunyumba na veve na nene, hinu vanavitu yati viweza kugega ndumba zitu kupitila chingoni?

    Aha, ooh mwenga nakakosiwi kukumbuka magulu gitu ...

    Musengwili – zikomo za pa mbili

    Mwangaleye,

    Zawuya Mwene Chaddy!

    ReplyDelete
  10. Salaamu alykum!

    Mwe muvili kumbwani, kawaka ngunja kwenuko! Anyway hasa ne chinu au jambo limonga le niliyeliwi lepa! Makolo goa gadodosiwi na dada yetu Yasinta, Likolo linyayi nipiliki lepa. Ngita avili mwe kuliyelewa bwina likolo hili basi tiwomba kuyelimishwa yati na tete tivahi munjila yimonga- Chambwina naha zikomo kambili kwa kuchangila ze hoja hizi.

    ReplyDelete
  11. Mwavalongo! Za magono? Niwona kwemuvvili uko m-yendelela chabwina.
    Niwanza kwa kumbonga dada yasinta, kwa mtima waki wa kunogela kukita
    vya kunyumba. Ngati nipatili nafasi nganimtavvalili nahaa,
    atihenyangilayi chimonga chimonga yivyayi rahisi kudakula na kumili,
    wakavilingayi ndongi yivvaha, manji gavyayi papipi! Nilindila ligono
    le aletayi ''sima ya pa bwalu''!
    Mwishu, usengwili sana mkulu, MNK kwa post.
    Wasaamu!

    ReplyDelete
  12. mwenge kweli pamulima hapa yaani nisengula kweli kwa kuwusa mawazu ginu hapa. Nikujiwona ngati niwili kunyumba kuchiPeramiho. Yatinishukuru ngati mubwela kila wakati hapa pa chibaraza changu kunijambusha. Nipilika raha sana.

    Pia shukurani kwa wote mliotoa maoni hapa najua mmeelewa kidogo. na mnaweza kuendelea na mjadala.

    ReplyDelete
  13. Hey, I am checking this blog using the phone and this appears to be kind of odd. Thought you'd wish to know. This is a great write-up nevertheless, did not mess that up.

    - David

    ReplyDelete
  14. Mimi ni mkomi ni mngoni wa asili ya jina je niambie maana neno hili mkomi

    ReplyDelete
  15. mi mkomi pia.ncheki 0712 950411

    ReplyDelete
  16. Mlongo ukiti chabwina sanaa

    ReplyDelete
  17. Jamani mnisaidie methali za kingoni zinazo mhusu mwanamke

    ReplyDelete