Saturday, November 14, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA FADHY MTANGA!!

Leo ni siku maalumu kwa kaka, rafiki, mdogo, mtoto, ndugu , jamaa bila kusahau mtani Fadhy Mtanga. Katika upekuzi wangu nimegundua ya kwamba leo anatimiza miaka, kwa hiyo napenda kumpongeza kwa siku hii kwa kutimiza miaka. kukutumia ua litasinyaa, kadi itachakaa. Kwa hiyo nakuombea kwa sala hii Mungu akubariki, akuongoze, akufariji na akusaidie katika mambo yako. HONGERA SANA FADHILI MTANGA KWA KUTIMIZA MIAKA . HONGERA MTANI!!!

11 comments:

  1. Hongera kwa kuendelea kupunguza siku za kuishi ndani ya mwili. vp uelekeapo?

    ReplyDelete
  2. ukiona nyani kazeeka ujue kakwepa mishale mingi. basi si haba nawe umekwepa-po mishale kiasi cha kutosha-po. may you grow to be like mandela!

    ReplyDelete
  3. Hepibesidei Papaa!
    Pamoja sana tu Mkuu!

    ReplyDelete
  4. nimechelewa kiduchu lakini nimefika, nakutakia wakati mzuri katika ukuras mwingine mpya maishani. hongera ndugu mtanga.

    ReplyDelete
  5. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!November 15, 2009 at 9:23 AM

    hongera msee wa ushairi...lol

    epibesidei!

    ReplyDelete
  6. Natumaini sijachelewa sana, hongera kamarade!

    ReplyDelete
  7. Muhongise kwa kumpongeza kaka Fdhy kwa kuongeza miaka. Nahisi kama nimechelewa lakini hakuna kuchewa naamini. HONGERA SANA MTANI.

    ReplyDelete
  8. Jamani Mkwe wangu Hongera Sana, ingawa pognezi zangu zimechelewa, nakutakia maisha marefu mema

    ReplyDelete