Thursday, October 22, 2009

NIMEUTAMANI KWELI MLO HUU/NAKUMBUKA MBALI NYASA!!!!!


Yaani hapa roho inauma kweli , nakula kwa kuingalia picha hii, basi tu sijui mwenzangu nanyi hivyohivyo. Mbaya zaidi hapa unga siku hizi haupatikani Sijui nijaribu kupika ugali na unga gani? Ok karibuni basi tule msosi tayari.



5 comments:

  1. Si peke yako tu mimi denda linatoka nikitazama picha tu.

    ReplyDelete
  2. hakika hapa lazima denda limwagike, haya mabo si mchezo, pole da yasinta

    ReplyDelete
  3. teh teh, wacha nkachukue pilipili mbuzi... naja.

    ReplyDelete
  4. Da yasinta umenifurahisha na kuniuzunisha..yaani kumbe tupo wengi tunaokula kwa macho. Me hivi juzijuzi nilifanya kutumiwa unga hasili basi sasa kidogo hafadhali na feel feel home..Kweli nyumbani ni nyumbani na mlo ambao mtu ameula kwa miaka mingi halafu kuja kubadilisha ukubwani au kutokula mara nyingi kile mtu anapenda kutoka nyumbani inauma sana..
    Umenitamanisha kwakweli, sasa ngoja nikapike

    ReplyDelete
  5. Mzee wa Taratibu asante kama sipo peke yangu nilaye pichani.

    Viva afrika ni kweli si mchezo.

    Teh teh.. Bado tu unachukua hizo pilipili mbuzi....njoo mi namaliza.

    Naxy,chakula cha nyumbani ni cha nyumbuni. Inte äta köttbullar och makaroner....lol

    ReplyDelete