Sunday, October 25, 2009

JUMAPILI NJEMA WANDUGU:- LEO NI DOMINIKA YA 30 YA MWAKA B!!!!!!

Kuwa na furaha sio kuwa na mali mengi. Isipokuwa ni kupenda/kupendwa na kuwa na tumaini/matumaini!!!

KRISTU..........TUMAINI LETU

17 comments:

  1. Shukrani nyingi kwako kwa kutukumbuka. Nawe uwe na wakati mzuri sana huko pamwe familia yako.

    ReplyDelete
  2. shukrani sana Yasinta, jumapili njema nawe pia!

    ReplyDelete
  3. Asante mlongo, jumapili njema kwako pia

    ReplyDelete
  4. swali zuri sana MTAKAVITU Simon...lol

    Yasinta tusaidie siye akina baba paroko wastaafu kumbukumbu zimetutoka...lol

    ReplyDelete
  5. NI JUMAPILI YA 30 YA mwaka wa wakatoliki Simon na Chacha. Ukiwa nje ya uwigo huo unaweza usielewe.

    ReplyDelete
  6. Asante kwa jibu Mkuu CHIB !

    Si unajua tena siye wengine Kikatoliki hakipandi?:-(



    Kwa hiyo DOMINIKA 29 Yesu anapanda kivingine KIKATOLIKI kwa neno lishushwavyo na PADRE nini ndio maana DADA Yasinta katika DOMINIKA zote kaitoa bikira DOMINIKA 30 nini?

    Unajua swala hili kimaandishi ingawa maandishi yanasomeka ila kuna tusioelewa MCHARAZO!:-(

    ReplyDelete
  7. Yasinta ile picha yako pale juu kabisa katikati uliipiga lini? naizimia sana.

    ReplyDelete
  8. ni kitambo da yasinta u wapi mwana familia yetu jamani? twakukosa sie, nataka kuamini u salama na kwa mapenzi yake jalali rejea salama. AMIN

    ReplyDelete
  9. Kocha wa taifa stars maxio maximo akikuona atakuweka kwenye kikosi chake cha washangiliaji.

    ReplyDelete
  10. Umependezea hizo jezi. Hongera sana mwanakwetu.

    ReplyDelete
  11. Bwaya na Mwaipopo hizo fujo au.... ha ha hhaaaa

    ReplyDelete
  12. Nimependa "recipe" ya furaha. Nakunukuu ukisema "ni kupenda/kupendwa na kuwa na tumaini/matumaini!!!"
    Tatizo ni kuwa sijui tafsiri ya chochote kati ya hayo. Yaani sijijui nikipenda na sijui kama napendwa na sina hakika na tumaini/matumaini
    Ina maana sitakuwa na furaha kamwe?
    Lol
    Blessings Dada

    ReplyDelete
  13. ni mara yangu ya kwanza kuingia kwenye blog yako nimefurahishwa na neno lako/slogan sio tofauti na wewe

    ReplyDelete
  14. Nimefurahi sana kuona wote umlikuwa na wakti mzuri, Dominika yenu ilikuwa njema.
    Fadhy! nawe pia.

    Usiye na jina j2 njema nawe pia

    Na mwingine usiye na jina wa 8:58 Mlongo na veve navi, usengwili.

    Chib, asante kwa kunijibia swali ambalo Simon na Chacha waliuliza ni sahihi kabisa Dominika ni Jumapili.

    Pia Samahani wote kwa kupotea ni maisha tu sasa nimerudi Viva Afrika asante kwa kuniuliza na nipo salama kabisa.

    Da Mija subiri ntakupa jibu dadangu.

    Mwaipopo nawe kwa vijimambo:-) kama alivyosema Chib acha fujo..

    Mzee wa Changamoto ipo siku utajua tu kakangu.

    kaka Bwaya nimefurahi kuona umerudi tena kwani uliadimika kweli siku hizi. na pia asante kwa kuipenda hiyo picha.

    Usiye na jina wa 28/10 11:00 PM Ahsante kwa kuupenda msemo huo na ni kweli mimi sio tofauti. Na karibu sana katika kibaraza hiki.

    ReplyDelete
  15. Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.

    WhatsApp; +31 687 329 133
    Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
    Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
    Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon

    ReplyDelete